Version mpya ya guru internet, very stable vpn na bei imepunguzwa elfu 8 tu....

Version mpya ya guru internet, very stable vpn na bei imepunguzwa elfu 8 tu....

kuna servers mpya za torrents kutoka canada. zinakubali VPN na http. full utamu..... you can try them
70.38.42.92 na 70.38.42.93

Mkuu Paje check pm yangu tangu jana..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Paje check pm yangu tangu jana..

Dah naona Paje yuko busy vibaya mno, hata mimi nina tatizo toka juzi lakini simpati JF wala simu hazipokelewi!! ningejua anapatikana mitaa gani ningeshabeba kilaptop changu nikaenda kumtafuta, maana siku za voucher zinakatika bila matumizi:disapointed:
 
Dah pole mkuu.. tumngoje tu..!
 
Last edited by a moderator:
Dah naona Paje yuko busy vibaya mno, hata mimi nina tatizo toka juzi lakini simpati JF wala simu hazipokelewi!! ningejua anapatikana mitaa gani ningeshabeba kilaptop changu nikaenda kumtafuta, maana siku za voucher zinakatika bila matumizi:disapointed:

usijali kuna kitu kipya nimeshakifanyia majaribio vya kutosha. wiki 3 mfululizo. hakihitaji vocha ya mwezi. wala account ni free for lifetime. nasubiri nitulie nitaanza kukigawa. kama si leo kesho....
kaa mkao wa kula
 
Haina shaka Mkuu. pm yako nimeiona, nashindwa kujibu kwa sababu ya simu nayotumia, nikirejea nitavokuwa na computer ndy nitakutafuta.
 
Najiunga vp na hii unlimited ya elfu nane?!?!
 
Mimi nikijaribu kuinstall prog aliyoitoa mkuu kwenye link zilizopo juu inaniambia niinstall kwanza java 6! so what is JAVA 6 na nitaipataje! msaada wakuu!!!!
 
kwa wale walioshindwa kuconnect, ni PM kuna settings mpya. hii VPN TUNNEL. Ina settings mpya nyingi sana
 
usijali kuna kitu kipya nimeshakifanyia majaribio vya kutosha. wiki 3 mfululizo. hakihitaji vocha ya mwezi. wala account ni free for lifetime. nasubiri nitulie nitaanza kukigawa. kama si leo kesho....kaa mkao wa kula
Mkuu Paje ukianza kugawa hiyo kitu usinisahau mkuu
 
Last edited by a moderator:
usijali kuna kitu kipya nimeshakifanyia majaribio vya kutosha. wiki 3 mfululizo. hakihitaji vocha ya mwezi. wala account ni free for lifetime. nasubiri nitulie nitaanza kukigawa. kama si leo kesho....
kaa mkao wa kula

mnh ndo huo mwez mtukufu watoa sadaka?
 
ili kuhakikisha vpn yako inakuwa stable. fungua folder la guru kisha \TGv2.2\misc\driver halafu kwa mouse ya kulia intall RUS AS ADMIN.....
ikimaiza ku install latest version restart your pc
 
Paje naona ukitumia VPN ina solve hadi lile tatizo la ku upload sahivi iko faster
 
Last edited by a moderator:
kwa wale wanaopenda kurusha wireless , nawashauri waachane na connectify hotspot na badala yake watumie program nyingine za bure na ni lightweight. hazili ram wala hazina matangazo.
kwa mfano kuna mhotspot. inakubali kwa windows zote hadi 7/8 etc.
kwa wazee wa guru, connect kwa vpn tunnel. ingia kwenye connection settings itafute tap 32 adapter , ifanye iwe shared na adapter inayoitwa microsoft hosted virtual adaptor mie nimeipa jina Marify hapa pichani. than kazi imeisha. unakua wireless bila tabu. nimeandika kwa haraka lakini nadhani nimefahamika,,,,,,,
mchoro huu utasaidia zaidi...

wireless.png
 
Kwani lazima uishare TAP adapter na Microsoft Virtual adaptor?
Mm nahisi ukisha install tu mhotspot unachagua internet to share as Local area connection kwa mHotspot au TAP ADAPTER V9 kama unatumia Connectify(not recommended for VPN).

Hii adapter au Local Area connection inakuwa na 10Mbps na imani kitu lazima irock 2
Thanks for sharing kamanda Paje
 
umeijaribu bila ya kuishare adaptor??
imekubali?
kwa hii nadhani haitokubali. tupe majibu ukipata mda wa kutest....
configuration sharing.png
hizo adaptor unazoziona kwenye picha:
hiyo tupu ni huawei usb modem eg tigo , voda, airtel etc
hiyo local area connection ndio tap 32 inayotokana na vpn ya guru
hiyo wayalesi ndio microsoft virtual WIFI adapter ndio lazima igaiwe internet kutoka kwa mkuu tap32 ambaye ndio vpn.
bila ya kumgaia internet utaconnect lakini simu yako. pda au laptop inarushiwa haitoweza kupata internet.
picha ya hapo sharing ndio inavyoonesha how to share....
 
Back
Top Bottom