Version mpya ya guru internet, very stable vpn na bei imepunguzwa elfu 8 tu....

Version mpya ya guru internet, very stable vpn na bei imepunguzwa elfu 8 tu....

ukihitaji microsoft virtual wifi adaptor ambayo ni must ipate hapa
http://www.maryfi.com/download/MSRMesh-VirtualWIFI.MSI
ukitaka documents on how to ..... step by step ..... kwa picha
Maryfi Support
pia kuna software nyengine inayofanya kazi ya kurusha wireless
icheki hapa Maryfi - Turn your Windows 7 laptop into a Wi-Fi Hotspot

Hii iko poa sana, haihitaji utaalam!
1-
Automatic Hotspots Configuration
2-Start Hotspots
http://www.mypublicwifi.com/downloads/MyPublicWiFi.exe
 
Nimetamani sana haya niliyoyasoma humu. Napenda sana kutandaa ila mitandao inanizingua sana. Ukizingatia ss wa chijijini. Tafadhali naombeni mnijuze nianzie wapi ili kupata huduma hizi. Nahitaji Sana.
 
Soma PM nauichukulie maanani
 
Back
Top Bottom