Verossa

Creative...nimependa but bado dada zetu wengi wao hawapati funzo nao waingia huko huko
 
Unapopatwa na shida kubwa usiku wa manane
Jirani yako ndiye wa kwanza kukusaidia
Hata katika vitabu vya Mungu ametuasa, mpende jirani yako kama unavyojipenda

Mimi na Wewe ni kitu kimoja, haina maana kunyimana
Mi nimeona maandishi mekundu tu hapo..... Hebu fanya hima jirani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…