Na wewe ndio ushajaza comment hivyooo, so umejiudhiiiiiii!!HILI LIUZI MBONA HALINA MANTIKI YOYOTE...
Lakin watu mnaendelea kujaza ma comments tuu?????
Mie mnanikera kishenz....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
LIUZI la toka zamani kabisa halafu halina hata mantiki yoyote ya msingi nyie mmekazania kujaza ma comments tuu....
Mnanikera kishenz....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Akakupitia mwende wapi?Shemeji usiku mwema, shetani asije akanipitia mie
Uko biased!Mbona kama mkemia mkuu majibu yanataka kunigomea...hii kitu mlipiga mtungo nini? Asprin RRONDO Honey Faith
Uko biased!
Mimba ya mchana sio kabisa. Hili kombe tutapigiana penaltiile ilikuwa ya jukwaa lile..kwa huku niko very fair..majibu ya mkemia yanaonesha kuna ujauzito wa mapacha...na yai moja lilipevuliwa na mbegu tofauti na yai lingine.
Uchunguzi zaidi kufanyika kubaini mbegu hizo ni za kina nani!
Mantiki ipeleke jikoni uitengenezee vitumbua..HILI LIUZI MBONA HALINA MANTIKI YOYOTE...
Lakin watu mnaendelea kujaza ma comments tuu?????
Mie mnanikera kishenz....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Naomba majibu...Mbona kama mkemia mkuu majibu yanataka kunigomea...hii kitu mlipiga mtungo nini? Asprin RRONDO Honey Faith
Jinyonge kama unakereka.......HILI LIUZI MBONA HALINA MANTIKI YOYOTE...
Lakin watu mnaendelea kujaza ma comments tuu?????
Mie mnanikera kishenz....
[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Hahaaaaaa!!!Mbona kama mkemia mkuu majibu yanataka kunigomea...hii kitu mlipiga mtungo nini? Asprin RRONDO Honey Faith
Hahaaaaa!! Kwakweli maana hata wewe haujui, labda uwaulize labda wao wanajua, huu mkanganyiko hata mkemia mkuu umemkanganya. Huyu ni mtoto wa jamii.
Nachooamini katika baba zao wote nitakaemwambia ni wako watapokelewa na malezi mazuri watapewa so hii hainisumbui sana..Hahaaaaa!! Kwakweli maana hata wewe haujui, labda uwaulize labda wao wanajua, huu mkanganyiko hata mkemia mkuu umemkanganya. Huyu ni mtoto wa jamii.
Hilo ndio la msingi, kitanda hakizai haramu.Nachooamini katika baba zao wote nitakaemwambia ni wako watapokelewa na malezi mazuri watapewa so hii hainisumbui sana..
Tell her labda atakuelewa...be you....
Hata kama ni haramu waume zangu wote wananipenda so lazima wanihudumie....Hilo ndio la msingi, kitanda hakizai haramu.
Aniambie nini sasa, thats my signature.Tell her labda atakuelewa...
Mie sisemei signature nimemwambia akwambie kitu fulaniAniambie nini sasa, thats my signature.