Verossa

Muongeze atoto upande wa Liverpool maanake atashangilia ushindi kuliko Klopp!
 
Kwa mantiki hiyo hii mimba yako ni ya Asprin?

Kumbe ndo maana RRONDO kasema nikuweke upande ule.

Ila jamani mimi refa tu hapa..msiniingize kwenye upande wowote!!!
Uzuri wewe ni refa mwenye beji ya FIFA. Naona unachezesha kwa haki mpaka sasa...
 
Hakyamama.... ngoja nipande mlimani nikamkemee


HILI LIUZI MBONA HALINA MANTIKI YOYOTE...
Lakin watu mnaendelea kujaza ma comments tuu?????

Mie mnanikera kishenz....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Shemeji usiku mwema, shetani asije akanipitia mie

LIUZI la toka zamani kabisa halafu halina hata mantiki yoyote ya msingi nyie mmekazania kujaza ma comments tuu....

Mnanikera kishenz....

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…