Verossa

Hahahahahaha...heee mmegeuza thread yangu mahakama, mitongozo corner, duh!

Ila familia ya atoto ni ya kuwekwa kwenye maombi maalum!!!!

Leo kutakuwa na mechi kali;

Kombe - Honey Faith

Kati ya;

Liverpool ( Asprin )

NA

Manchester United ( RRONDO )

Na mshindi ndo baba kijacho.


Wenu,
Mkemia Mkuu!
10/17/2016.


Bado masaa mawili majibu yatapatikana hapa hapa...sitaki kupingwa kama matokeo ya uraisi!!!
 
YNWA.... Najua hata wewe leo uko upande wangu...
 
Wewe tunachangamsha genge tu hapa. Familia yetu iko poa hata ukamilifu wa dahari
 
Si uliyaanzisha mwenyewe acha tuyaendeleze.
Familia yangu iko shwariii, hapa tunamsubiri tu kijacho wa jirani yangu, mie ndio nitamsindikiza kwa mkemia mkuu, teh teh teeeeh!!
 
Umejuaje bae wangu ni manchester united?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…