Verossa

Mimba imepatwa, nshomile ye manyau nyau ashamkoroga anafuata kila anachoambiwa, anajua mimba ni yake kumbe hata kucha hajachangia.

Halooo ya mkemia mkuu!
Haha kumbe kuna balaa la mkemia mkuu?
Hapana chezea huyu binti aisee!!
'Mtoto katoka mchinaa, nikauliza huyu vipii, mtoto kafuata kwa bibi yake na binamu yake shangazi'
Mie na pop corn zangu pembeni, akileta kibesi analazwa banda la kuku.
subira yangu ndo iloniponza. .....
 
Mimba imepatwa, nshomile ye manyau nyau ashamkoroga anafuata kila anachoambiwa, anajua mimba ni yake kumbe hata kucha hajachangia.

Halooo ya mkemia mkuu!
Mbona unahangaika sana kwa mimba yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…