Verossa

Sasa chige hujui mmoja hawezi kutosheleza, inabidi mvumiliane tu ili maisha yasonge, usijali kodi ashalipa mwenzio.
 
RRONDO kumbe aliikuwa anataka kuongeza koloni. Jana kalazwa nje na Honey Faith..sijajua kama keshasamehewa au yu single
Honey Faith najua si mtu wa mchezo mchezo, kama hajalazwa nje...basi chini. RRONDO nawe tulia sehemu moja.
Wataka kuwa kama yule jamaa wa Keko, kaweka vi-zygote kwa wanawake 7.
Jamaa ana nguvu za Simba dume
 
RRONDO kumbe aliikuwa anataka kuongeza koloni. Jana kalazwa nje na Honey Faith..sijajua kama keshasamehewa au yu single
Honey Faith najua si mtu wa mchezo mchezo, kama hajalazwa nje...basi chini.@RRONDO nawe tulia sehemu moja.
Wataka kuwa kama yule jamaa wa Keko, kaweka vi-zygote kwa wanawake 7.
Jamaa ana nguvu za Simba dume
 
Ninaemtaka bado hajajitokeza ujue, hadi ajitokeze ndio nitatulia ila kwasasa ngoja niwafolenishe tu.
Angalia usije pata koroma mdogo wangu
Ngoja nimtafute mtu aje na Iphone 7....
Nicky Minaji kasema akija mtu na 7 yake, atamuacha Meek wake.
Hahahahha....... ngoja tujichange
 
Angalia usije pata koroma mdogo wangu

Ngoja nimtafute mtu aje na Iphone 7....
Nicky Minaji kasema akija mtu na 7 yake, atamuacha Meek wake.
Hahahahha....... ngoja tujichange
Makoroma si ndio haya sasa unataka niyapate mara ngapi?
Unadhani hata nahitaji iphone 7?? Walaaaaa, ninalolitaka nikilipata takuambia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…