We nae unajuaga nyimbo za vingreza tu ndio tatizo.
Ameimba Goodluck Gozbet - ipo siku.
AMENHaya suuzika na roho yako. Najua nyingi tu za Kiswahili na jana nilikuwekea moja ila baadhi zimenipiga chenga.
God forbid!!
Hivi mnaongelea nini kwani? Mbona kama sijaelewa kinachoendelea hapa!Haha kesho angewa-frank madent, wangejutraaaa
Dota una 'bi mkubwa' wangapi? Maana hata sielewi mnazungumzia nini na nani hapa.Niachie bi mkubwa wangu alale bana. Unayajua maumivu ya kukataliwa? Asije akajinyonga bure
Hahaha halafu nilisikia ana DNA ya Uhehe kwa mbali.
Kama namuona..
View attachment 418209View attachment 418209
Nyota ya kukatwa!!Ila na wewe una roho ngumu, nimeamua hadi kujivalisha wito wa ualimu ila still ukanikata mchana kweupe. Ila kwa sababu umemnyakua gelofriend wangu, mwalimu wa walimu, basi fresh
Posho ya kuhama usiitumie kwanza switi, subiri miezi miwili ipite sawa eeh teh
Nkajua nakuja airport na ua mkononi kukupokea, sa ua ntakuja nalo station mpnz?tuliambiwa tunapewa behewa moja per family! hakuna posho BAE!!!
You wish eeh. Tuliamua tu tufanye vile ili angalau usijihisi kuwa una nyota ya ukoko peke ako. Vipi lakini presha inaendeleajeNyota ya kukatwa!!
Aise.....
Ndo maana nakupendaga sweet mangii we sio mtu wa mchezo mchezo
Najua umenimiss ironicallyMie nimemmiss sana @Rogie.Jamani popote ulipo I miss you kwakweli
Unajifariji eti? Presha ndio nini?You wish eeh. Tuliamua tu tufanye vile ili angalau usijihisi kuwa una nyota ya ukoko peke ako. Vipi lakini presha inaendeleaje
Habari rogie!Hahahah haya bibie.
ShikamooAise.....