Verossa

Mie si mtu wa mchezo mchezo atiii.Muulize Mentor akusimulie


Mimi na wewe tumefahamiana wapi mpendwa? mbona kuniingiza kwenye kesi yenu..hebu nielezeeni kinagaubaga. Yani nimepumzika dakika tano tu mmeshaharibu huku!

Naona kuna sterling mmoja: RRONDO

Kuna rafiki: atoto

Kuna bae: Honey Faith

Kuna Heaven Sent sijajua hasa anacheza role gani kwenye hii movie.
 
Mie nina role ya uchokonozi a.k.a uchochezi
 
Kwa hiyo unanikana ama??sema tu unataka kuelekezwa ngoja mwalimu wa lugha atoto atakuelekeza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…