Verossa

Wala usimsingizie KOKUTONA (kama Mtambuzi akiharibika, basi lawana ni za Koku!) Ila babu DC kaharibiwa na gfsonwin....ooopsiee!!!
Haya twende paleeeeeeee
gfsonwin nimem-miss sana jamani
Au keshaenda UK kwa mchumba?
Maana maisha ya sasa ni 'abiria chunga mzigo wako'.
Kuna huyu shemeji yangu huyu Watu8 .....kitambo sana aisee, watu wamehamishwa miji jamani.
Nasubiri nawe uhamishwe, nije kukupeleka Ubungo kwa Matarumbeta.
 
Hii fasihi tunaelewa kina sie tu. Huyu jamaa sijui kasomea nini fasihi na yeye mbalimbali!
Hebu saidia kunifundishia fasihi huyu mtu, ila we hapana sitaki uwe mwalimu wake, nitamtafutia mwalimu mwenyewe.
 


Watu8 nahisi Kasinde anahusika.

Mimi nahamia Dodoma kwa my 'unconditional BAE' Evelyn Salt !!!!
 
hahahah mkuu hakuwa na maana hiyoooo.

alimaanisha kukusifia maana vigezo vingine vyote unavyo sasa hofu yake usije kuwa Bujibuji kumbe ndani ni @gilesi!!!!
Hahahaaaaaaa!!! Yaani umenikumbusha mbali, aise gilesi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…