Verossa

Hapa mwenye tatizo ni atoto wala haina ubishani. Yuko bize siku hizi kula pensheni ya Asprin!

Ama hakika kabla jimbi hajawika atakuwa amekumbuka maneno yako!!!
Asprin, mijimama imemuhamisha mji.
Kasweka huko Bagamoyo ndani ndani vijijini huko.
Kumbe ndo tabia yake huyo eeee.
Anavizia wazee wanaokaribia kustaafu, ale kiinua mgongo chao.
Siku hizi kuna vizee-ngozi tu, ila akili ya ujana mwambie.
Asije na yeye akahama mji.
Hivi Dark City ni vichuchuchu vya Tanga vinamuweka busy au?
KOKUTONA, mmemfanya nini mzee wa watu huko?
Mbona haonekani kabisa katika darubini?
 
Mgirk alikutaka wewe, mie nilikuwa ni wa ziada tu, sasa huoni nimedharaulika hapo?
 
Eti sifa ya mwalimu ni kuwa flexible.

Kipindi nasoma THE SAME HIGH SCHOOL (yaani Same Sec.) second master ndo alikuwa discipline master, mhasibu, mwalimu wa Chemistry A level, Biology O level na History..pata picha!
Hahaha kweli mwalimu ni flexible. Ndo kubana uchumi au?
 

Wala usimsingizie KOKUTONA (kama Mtambuzi akiharibika, basi lawana ni za Koku!) Ila babu DC kaharibiwa na gfsonwin....ooopsiee!!!
 
Na utamke kumuacha babu wa watu - asprin - mbele ya kadamnasi hii!!!
Huyo babu hajawahi kunibemenda, we ulishasema hunitaki, sasa mbona unaniharibia? We nenda katumike bwana, au ndio ushabaki kipisi upo dustbin?
 
I wish ungejua hicho nilichokimaanisha hapo kilivyo na uzito, that means yo the whole package of a man.


Hii fasihi tunaelewa kina sie tu. Huyu jamaa sijui kasomea nini fasihi na yeye mbalimbali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…