Verossa

Hahahaaaa!! Yaani Mentor we ni konyo!! Sasa tatizo kati ya wote hapo hakuna mwalimu hata mmoja, RRONDO alishanitenga eti sina eksipozha, mara oooh napenda sana pesa, kwahiyo ilibidi niishie kummezea mate tu.
 
Duuuh imekuwaje hii 'mention' sijaiona! Yaani mwenyewe naona namendea kimya kimya kumbe kuna ma-detective akina Mentor wananiona!
 
Unammendea nani kimya kimya RRONDO jamani, mbona unataka kunisababishia huu usiku uwe mrefuu namna hiyo!
Nakumendea wewe, nishajua kituo chako cha kazi, subiri ugeni. Nishajifunza siku hizi straight to the point, mambo ya salamu siku nzima nimeshaacha.
 
Hahahaaaa!! Yaani Mentor we ni konyo!! Sasa tatizo kati ya wote hapo hakuna mwalimu hata mmoja, RRONDO alishanitenga eti sina eksipozha, mara oooh napenda sana pesa, kwahiyo ilibidi niishie kummezea mate tu.

Unataka mwalimu menzako sio! Endelea

Duuuh imekuwaje hii 'mention' sijaiona! Yaani mwenyewe naona namendea kimya kimya kumbe kuna ma-detective akina Mentor wananiona!

Hebu nisaidie kumjibu hapo juu...ni kweli ulim-diskwalifai!???
 
Hapo huoni unanisingizia tu, hapo sijaona kabisa aloonyesha interest.
Wewe ulitaka wa Idara yako, Mgirik kaonesha nia dhabiti kaka wa watu, lakini bado hujamfikiria.

Au kwa kuwa unachat na mwingine RRONDO?
Najua ukimaliza 'kusalimiana' nae, utanijia nikutafutie huyo Mgirik myahudi.

CC: Mentor kama shahidi mkuu wa usiku huu, usilale mpaka upaone hapa
 
Nakumendea wewe, nishajua kituo chako cha kazi, subiri ugeni. Nishajifunza siku hizi straight to the point, mambo ya salamu siku nzima nimeshaacha.
Uwiiiii Mentor yaani ukisikia kuamka kesho saa5 ndio leo, nitalala usingizi kama mtoto mdogo, maana nimemmendea RRONDO muda mrefu leo atimae feelings zimekuwa mutual.
 
Hapa mwenye tatizo ni atoto wala haina ubishani. Yuko bize siku hizi kula pensheni ya Asprin!

Ama hakika kabla jimbi hajawika atakuwa amekumbuka maneno yako!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…