Hebu siku mzazi akija umuulize anawaleaje wanae na sisi tupate cha kujifunza. Au uwaulize hao watoto wenyewe wakueleze si wakubwa?
Jamani ntaachaje kucheza na bi mkubwa?ndo maana nilijua tu!
mjukuu usiwe unacheza na atoto!
Jamani ntaachaje kucheza na bi mkubwa?
Sasa mbona tunaongezeana kaziSio mbaya pia!
waiingize kwenye sayansi kimu kipengele cha usafi wa mwili
Tell them, mie sipo huko, nalitambua sana hilo na naitumia sana kwa wanangu na wanafunzi wangu, we hushangai kila mzazi alikuwaga namba moja darasani, hata kama alikuwa kimeo ila anakomaa tu, na watoto wanaamini baba/mama sio wa mchezo mchezo.
Mie sio mwalimu wa lugha mama, mie mwalimu ya sayansi kimu.
utawapa wewee!Sasa mbona tunaongezeana kazi
Watoto wanahitaji eksiperiensi
Mi mwenyewe sina eksipiriensi.utawapa wewee!
Mie Geography tu!Unafundisha masomo gani ticha!??
Utaenda semina!Mi mwenyewe sina eksipiriensi.
Mie Geography tu!
Mwalimu wetu wa Geography alikuwa anapenda kutuuliza miji mikuu ya nchi kila akiingia darasani. Shida sasa kumbukumbu zetu zilikuwa za panzi mwishowe akaja na salamu yake kila akiingia darasani, tunasimama tunasema;
"Wagumu kuelewa, wepesi kusahau...good morning madam!"
Ndipo soma linaendelea.
Yaani wazazi walikuwa wajanja sana! Sio wa siku hizi bora liende, mtoto akiuliza swali atajibiwa 'hivi ada nalipa na maswali naulizwa'Hahaha ila kweli..hata mimi wazazi wangu walikuwaga top three muda wote! Na sijawahi kuona matokeo yao...naamini tu!
Baba yangu alikuwa anapenda sana kutufundisha. Pamoja na ukali wake lakini ilitusaidia sana.
Kwa mfan hesabu..alikuwa anapenda kusema "Hesabu ni mchezo wa namba...It is just a game of numbers!" Ukipata swali anafurahiiiiiii basi na wewe unajiona bingwa kweli kweli!!!
Tunasoma tukimaliza tunaimba..infact, kipindi pekee tulikuwa tunamfurahia ni wakati akitufundisha tu maana huwa hachapi...ila mkimaliza hapo babaa...dah mara bustani, mara kazi za ndani, ng'ombe, ukitaka kucheza subiri mpaka uende shule! dah...
Umenikumbusha mabli na sayansi kimu...hivi hili somo siku hizi halijafutwa? Tulijifunza mambo mengi sana mazuri them dayz!!!
Wizi ni dhambi.tuibie siri basi mwalimu...
Nipeleke basi, we si ushachuma sana kwa babu?Utaenda semina!
utaenda usijali dogo langu!ngoja mwakani basi!Nipeleke basi, we si ushachuma sana kwa babu?
Hahahaaaaa!!! Umenikumbusha mwalimu wangu wa kiswahili drs la3, mkurya yule alitutandika siku moja, alituambia tutamke 'feza' basi nasi tunatamka 'feza' akarudia 'sema feza si feza' hapo ndio ikawa lugha gongana, tukarudia tena 'feza' weeeh tulikula stiki, kumbe lengo lake tuseme 'fedha'Mwalimu wetu wa Geography alikuwa anapenda kutuuliza miji mikuu ya nchi kila akiingia darasani. Shida sasa kumbukumbu zetu zilikuwa za panzi mwishowe akaja na salamu yake kila akiingia darasani, tunasimama tunasema;
"Wagumu kuelewa, wepesi kusahau...good morning madam!"
Ndipo soma linaendelea.
Oooh hayo ndio maneno sasa. Ngoja nijiandae kabisa.utaenda usijali dogo langu!ngoja mwakani basi!