Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,717
- 98,375
Kudos to that momma. Ukiwa na mzazi anayejitambua, inasaidia sana mtoto kujitambua pia. Siku moja jaribu kumuuliza. Huyo mume nisimuongelee tu maana nishafura hapaAaah kuna wazazi wanajitambua acha kabisa, kuna mzazi mmoja huyo ana watoto wa4 hapa shuleni, yaani kdt cha 1 hadi 4, hawa watoto wanaongoza kwa vidato vyote, wana nidhamu na wanajituma kweli, ila mumewe alimkimbia akaenda kuoa mwanamke mwingine, na alikimbia na mtoto wa kiume wa kwanza(aliishia form 2)
Nilitamani kujua zaidi ni kwa namna gani anawalea wale wanae, aisee hadi raha.
Hahahaaaaaa!!! Wewe, samaki mmoja akioza unamtoa unatupia mbali unaendelea na walio wazima(sijui watakuwepo!) wapo walimu wazuri tu, sie wachache tusikukatishe tamaa.Nilikuwa na mpango wa kuoa mwalimu ila mifano yenu nimebadili mawazo....🙁🙁🙁🙁
Kazi si kidogo, tupo kama mwalimu msigwa
Huko alikoenda wa kwanza ndio huyo aliishia kdt cha2, wa pili aliishia la6, huyo wa 3 yuko la3 sijui huko mbele. Mungu wa sasa ni kijana,hacheleweshi.Kudos to that momma. Ukiwa na mzazi anayejitambua, inasaidia sana mtoto kujitambua pia. Siku moja jaribu kumuuliza. Huyo mume nisimuongelee tu maana nishafura hapa
Kuna mwalimu Madame B huyu weka ndani kama unataka mke ni wife material, tena material ya kujengeaNilikuwa na mpango wa kuoa mwalimu ila mifano yenu nimebadili mawazo....🙁🙁🙁🙁
Haha kama ambavyo wazazi wao si wa mchezo mchezo, Mungu awatangulie tu. Hehe eti Mungu wa sasa ni kijana, hacheleweshiHuko alikoenda wa kwanza ndio huyo aliishia kdt cha2, wa pili aliishia la6, huyo wa 3 yuko la3 sijui huko mbele. Mungu wa sasa ni kijana,hacheleweshi.
Yaani hivyo vitoto navipenda hadi vinajua so vikiwa na shida havisiti kuniambia nami yaani sisiti kuvisaidia, mmoja nilimuahidi akifaulu somo langu na kupata kuanzia 90 namlipia study tour, yaani nilitafuta makosa ili ipungue asifikie 90 nikakosa ikabidi tu nimpe haki yake.
Kuna watoto sio wa mchezo mchezo.
Alafu vina msingi mzuri wa dini, hii nayo inasaidia. Hawa wenzangu na mie sasa duuuh!!Haha kama ambavyo wazazi wao si wa mchezo mchezo, Mungu awatangulie tu. Hehe eti Mungu wa sasa ni kijana, hacheleweshi
Jamani hadi raha. Mungu aendelee kuwashindia na azidi kumbariki mama yaoAlafu vina msingi mzuri wa dini, hii nayo inasaidia. Hawa wenzangu na mie sasa duuuh!!
Mentor tusameheane tu hili shairi limetunogea.
Amen. Yaani sijawahi hata kuvigusa maana utamchapa kwa kosa gani!! Hicho cha kike ndio kikiona fimbo kinahisi kuzimia, na vinapendana kweli. Kweli ukiwapenda,kuwajali,kuwaheshimu na kuwathamini watoto bila kuwabagua nao watatendeana the same.Jamani hadi raha. Mungu aendelee kuwashindia na azidi kumbariki mama yao
Atusamehe tu yani
Siku hiziiii, no wonder ni matronAmen. Yaani sijawahi hata kuvigusa maana utamchapa kwa kosa gani!! Hicho cha kike ndio kikiona fimbo kinahisi kuzimia, na vinapendana kweli. Kweli ukiwapenda,kuwajali,kuwaheshimu na kuwathamini watoto bila kuwabagua nao watatendeana the same.
Siku hiziiii, no wonder ni matron
Amen. Yaani sijawahi hata kuvigusa maana utamchapa kwa kosa gani!! Hicho cha kike ndio kikiona fimbo kinahisi kuzimia, na vinapendana kweli. Kweli ukiwapenda,kuwajali,kuwaheshimu na kuwathamini watoto bila kuwabagua nao watatendeana the same.
Hahahaaaa!! Hata nami huwa nawashangaa 'hivi wananielewa kweli!!!'Hivi wanafunzi wako huwa wanakuelewa kweli@atoto?
Basi naomba unitafsirie
Alijua mie nanilii.