Verossa

Unaona sasa, wazazi hawafatilii wala kuwatia moyo watoto kuwa they can do it. Na wazazi wengine, muda wa homework wanajificha kabisa. Kazi kweli kweli
 
Sasa atamsaidia nini mtoto kwenye homework ikiwa yeye hajui? Utasikia tu 'hivi hao walimu wenu wana kazi gani huko shuleni?'
 
Ha ha nacheka kama mazuri. Ila kweli atasaidiaje kitu asichokijua
 
Unakuta unamuelekeza mzazi hata namna ya kumsaidia mwanae ila bado anaona kama unampa kazi isio yake!!
Au akiamua kukuchosha utasikia 'mwl si ungekaa tu na huyu mwanangu umsaidie' unaona hapa ni lugha gongana tu.
 
Haha shikamoo mwalimu
 
. Tusaidieni tu
Aaah kuna wazazi wanajitambua acha kabisa, kuna mzazi mmoja huyo ana watoto wa4 hapa shuleni, yaani kdt cha 1 hadi 4, hawa watoto wanaongoza kwa vidato vyote, wana nidhamu na wanajituma kweli, ila mumewe alimkimbia akaenda kuoa mwanamke mwingine, na alikimbia na mtoto wa kiume wa kwanza(aliishia form 2)

Nilitamani kujua zaidi ni kwa namna gani anawalea wale wanae, aisee hadi raha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…