acha nisepe hapanihusu hp nahiisi nasemwa kiaina
DEMBA ni mambo ya kiofisi tu hakuna la ziada....wala usihofuuuuuunataka kuongea nini na mume wa mtu tena jioni. ujue wewe umefunga ndoa hapa juzujuzi
umeshindaje babe?. leo nlikua busy hata sikuona comment yako. Asante kwa kucare. nakutakia usiku mwema.
Nakupenda sana. mia
mke wangu unataka kusema nini?. mia
Hii iingizwe kwenye rasimu Mr. chairman?
best mambo ya ofisini mumaliziage hukohuko. vikao vya jioni mie nitawa westgate bure.
mie mzima!!! hajambo mumeo figganigga?hahaaaaaaaaaa sawa besti maisha nayo matamu ukituwastegate si itakuwa balaa lol
mzima lakin
mie mzima!!! hajambo mumeo figganigga?
Mzima.......halafu ile kitu unasahau kunishtua ujue.......we weekend tu ndio wanishtuaga tu