hivi Passion Lady and Rutta..bado mpo pamoja?
kiwatengu wanaume wa kulea vichanga hawakosekani ili mradi tu uwe na wowowo nitaanza kumfikiria Mavotah Bishanga kashanivuruga akili Erickb52 na Lady doctor verified couple
Arushaone na Lady doctor tuko kwenye 18, hakuna beki na goalkeeper kateleza.....any moment tunapiga bao!
yah yah..hii hata mimi naiunga mkono! endelea kukaza kamba, ila isije katika!!
Labda kamba aikate Lady doctor mkuu! Mimi siikati.
kwani aliyemwanza mwenzie ni nani?