G'morning members,
Mara kwa mara computer yangu (Hp laptop) inadisplay "VER_DESCRIPTION" has stopped working,
Tafadhali kwa anaejui maana yake na jinsi ya kusolve hili tatizo naomba elimu.
kuna program ambayo itakua inarun kwenye background lakini inaacha kufanya kazi kutokana na sababu mbalimbali. Fungua task manager then kwenye process itafute hiyo program halafu tafuta taarifa zake mf location yake hapo unaweza jua kazi yake kama haina kazi itoe. Soma pia hapa inaweza saidia http://answers.microsoft.com/en-us/...-working/e33dc429-f4b7-4560-908e-30f7bd44590a
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.