Hata wahenga wana hekima kuliko jopo la wanasayansi wa NASA
Wahenga walisema "ukisaka Nyoka anza kwa kuangalia miguuni pako"
Tena wakasema "Ukitaka kuyaona ya wengine anza na yako"
Wao wanataka kutupa mihemko ya kupenda kuyajua ya Mars wakati ya Dunia yamewashinda
Wanaandika kwa shauku labda juu ya uvumbuzi wa kakoloni ka bakteri kamoja.! wakati kwetu kuna matrilion na wangine wamegeuka kuwa wanyama na watu..Shenzi kabisa hao Nasa na wanaofafana nao
Point yako nini.Hata wahenga wana hekima kuliko jopo la wanasayansi wa NASA
Wahenga walisema "ukisaka Nyoka anza kwa kuangalia miguuni pako"
Tena wakasema "Ukitaka kuyaona ya wengine anza na yako"
Wao wanataka kutupa mihemko ya kupenda kuyajua ya Mars wakati ya Dunia yamewashinda
Wanaandika kwa shauku labda juu ya uvumbuzi wa kakoloni ka bakteri kamoja.! wakati kwetu kuna matrilion na wangine wamegeuka kuwa wanyama na watu..Shenzi kabisa hao Nasa na wanaofafana nao
Kuna filamu inaitwa Life (2017). Nahisi ukiiona, ndio utaandika kwa herufi kubwa hii comment na kuibold kabisaa..Wasije wakatuletea balaa huku watulize makongosho yao Wala wasiende kuvichukua vibakteria visivyofahamika alasivyo wakavifanyie tafiti kwenye mwezi!.. ili hata vikiwabadilikia viwatafunie hukohuko.
Mkuu uwepo wa bacteria sehemu unadhirisha maisha yapo. Hata sisi wenywe binadamu tunasurvive kwasababu ya uwepo wa bacteria duniani.Wasije wakatuletea balaa huku watulize makongosho yao Wala wasiende kuvichukua vibakteria visivyofahamika alasivyo wakavifanyie tafiti kwenye mwezi!.. ili hata vikiwabadilikia viwatafunie hukohuko.
Sio kuiona ni nimeshaiona na naijua vizuri tu yule kiumbe toka mars alivyofanya vitu ktk ile laboratory huko angani.. mkuu hivi bado haijaendelea maana kiumbe kimoja wapo si kilifanikiwa kufika duniani..?Kuna filamu inaitwa Life (2017). Nahisi ukiiona, ndio utaandika kwa herufi kubwa hii comment na kuibold kabisaa..
Mkuu kuhusu maisha huku sehemu nyengine sina shaka kabisa kuwa yapo,swala ni wawe makini wasije tuletea balaa.. check this Venus ni sayari ya pili na inajoto kali sana kushinda sayari ya kwanza Mercury kwa kiswahili zebaki,zebaki ipo karibu na jua lkn haifikii Venus kwa joto hii ni kwasababu Venus inamilipuko mingi yakivolkano!.. Sasa unafikiri hao bacteria wanaosavaivu huko wanahasira kiasi gani wakija kupata mazingira Kama haya hapa duniani si inaweza kuwa Moto patashika!!.. nashauri sample zake wakazifanyie utafiti kwenye mwezi zisije kuvuja huku tukavaa zaidi ya mibarakoa..😂Mkuu uwepo wa bacteria sehemu unadhirisha maisha yapo. Hata sisi wenywe binadamu tunasurvive kwasababu ya uwepo wa bacteria duniani.
Tusubiri chakula kitamu kinakuja. Tuache wataalamu waendelee kufanya tafiti zao na naimani mwisho wa siku signals ambazo zishatumwa kwenye sayari na mifumo mingine ya jua zitajibiwa.
Extraterrestrial life is real Kifyatu
Nakubaliana naweMkuu kuhusu maisha huku sehemu nyengine sina shaka kabisa kuwa yapo,swala ni wawe makini wasije tuletea balaa.. check this Venus ni sayari ya pili na inajoto kali sana kushinda sayari ya kwanza Mercury kwa kiswahili zebaki,zebaki ipo karibu na jua lkn haifikii Venus kwa joto hii ni kwasababu Venus inamilipuko mingi yakivolkano!.. Sasa unafikiri hao bacteria wanaosavaivu huko wanahasira kiasi gani wakija kupata mazingira Kama haya hapa duniani si inaweza kuwa Moto patashika!!.. nashauri sample zake wakazifanyie utafiti kwenye mwezi zisije kuvuja huku tukavaa zaidi ya mibarakoa..😂
Kuna mjadala juu ya kuchunguza maisha haswa sign ambazo wanazitoa ili kuwafikia viumbe wengine.. ubovu wakizipata halafu hao viumbe wakaja then kwao tukawa sawa na maindi wakatusonsomola what do you think..?? We need to do it better and safely.
Point yangu ni kwamba kwanini tujishughulishe na magimba mengine wakati la kwetu limetushindaPoint yako nini.
Gimba letu limetushinda kivipi mkuu? Sijakupata bado.Point yangu ni kwamba kwanini tujishughulishe na magimba mengine wakati la kwetu limetushinda
Ila kama wanatengeneza kiki ili wapate mazwazwa wa kufatilia vituko ni sawa
Kwani wamewahi kutenga bajeti yakutosha kuchunguza vina vya bahari kuu zote na kujiridhisha kuwa kuna nini..?Gimba letu limetushinda kivipi mkuu? Sijakupata bado.
Kwanini wafanye hivyo?Kwani wamewahi kutenga bajeti yakutosha kuchunguza vina vya bahari kuu zote na kujiridhisha kuwa kuna nini..?
Ili swali lako nenda kawaulize Nasa kwanini wanafanya hivyo..? Sawa DogoKwanini wafanye hivyo?
wewe ndiye uliyesema hivyo nasa wahusike vipi sasa?Ili swali lako nenda kawaulize Nasa kwanini wanafanya hivyo..? Sawa Dogo