Venus: Utafiti mpya waonyesha uwezekano waviumbe hai kwenye sayari ya venus

TIASSA

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
2,892
3,420
Wanasayansi wamegundua uwepo wa gas ya phosphine, kwenye mawingu ya venus , wamehusisha gas hiyo na uwezekano wa uwepo wa viumbe hai Kama bacteria wadogo wadogo ambao huwa wana ustahimilivu wa mazngira magumu
IMG_20200914_195615.jpg
View attachment 1569904

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Wasije wakatuletea balaa huku watulize makongosho yao Wala wasiende kuvichukua vibakteria visivyofahamika alasivyo wakavifanyie tafiti kwenye mwezi!.. ili hata vikiwabadilikia viwatafunie hukohuko.
 
Hata wahenga wana hekima kuliko jopo la wanasayansi wa NASA

Wahenga walisema "ukisaka Nyoka anza kwa kuangalia miguuni pako"

Tena wakasema "Ukitaka kuyaona ya wengine anza na yako"

Wao wanataka kutupa mihemko ya kupenda kuyajua ya Mars wakati ya Dunia yamewashinda

Wanaandika kwa shauku labda juu ya uvumbuzi wa kakoloni ka bakteri kamoja.! wakati kwetu kuna matrilion na wangine wamegeuka kuwa wanyama na watu..Shenzi kabisa hao Nasa na wanaofafana nao
 
NASA tangu waseme wameiona yelusalemu angani nikalog off😅

Point yako nini.
 
Wasije wakatuletea balaa huku watulize makongosho yao Wala wasiende kuvichukua vibakteria visivyofahamika alasivyo wakavifanyie tafiti kwenye mwezi!.. ili hata vikiwabadilikia viwatafunie hukohuko.
Kuna filamu inaitwa Life (2017). Nahisi ukiiona, ndio utaandika kwa herufi kubwa hii comment na kuibold kabisaa..
 
Mkuu uwepo wa bacteria sehemu unadhirisha maisha yapo. Hata sisi wenywe binadamu tunasurvive kwasababu ya uwepo wa bacteria duniani.
Tusubiri chakula kitamu kinakuja. Tuache wataalamu waendelee kufanya tafiti zao na naimani mwisho wa siku signals ambazo zishatumwa kwenye sayari na mifumo mingine ya jua zitajibiwa.
Extraterrestrial life is real Kifyatu
 
Sio kuiona ni nimeshaiona na naijua vizuri tu yule kiumbe toka mars alivyofanya vitu ktk ile laboratory huko angani.. mkuu hivi bado haijaendelea maana kiumbe kimoja wapo si kilifanikiwa kufika duniani..?
 
Mkuu uwepo wa bacteria sehemu unadhirisha maisha yapo. Hata sisi wenywe binadamu tunasurvive kwasababu ya uwepo wa bacteria duniani.
Tusubiri chakula kitamu kinakuja. Tuache wataalamu waendelee kufanya tafiti zao na naimani mwisho wa siku signals ambazo zishatumwa kwenye sayari na mifumo mingine ya jua zitajibiwa.
Extraterrestrial life is real Kifyatu
Mkuu kuhusu maisha huku sehemu nyengine sina shaka kabisa kuwa yapo,swala ni wawe makini wasije tuletea balaa.. check this Venus ni sayari ya pili na inajoto kali sana kushinda sayari ya kwanza Mercury kwa kiswahili zebaki,zebaki ipo karibu na jua lkn haifikii Venus kwa joto hii ni kwasababu Venus inamilipuko mingi yakivolkano!.. Sasa unafikiri hao bacteria wanaosavaivu huko wanahasira kiasi gani wakija kupata mazingira Kama haya hapa duniani si inaweza kuwa Moto patashika!!.. nashauri sample zake wakazifanyie utafiti kwenye mwezi zisije kuvuja huku tukavaa zaidi ya mibarakoa..😂

Kuna mjadala juu ya kuchunguza maisha haswa sign ambazo wanazitoa ili kuwafikia viumbe wengine.. ubovu wakizipata halafu hao viumbe wakaja then kwao tukawa sawa na maindi wakatusonsomola what do you think..?? We need to do it better and safely.
 
Nakubaliana nawe
 
Point yangu ni kwamba kwanini tujishughulishe na magimba mengine wakati la kwetu limetushinda

Ila kama wanatengeneza kiki ili wapate mazwazwa wa kufatilia vituko ni sawa
Gimba letu limetushinda kivipi mkuu? Sijakupata bado.
 
Ili swali lako nenda kawaulize Nasa kwanini wanafanya hivyo..? Sawa Dogo
wewe ndiye uliyesema hivyo nasa wahusike vipi sasa?

Iko hivi unaposema gimba letu lenyewe limtushinda unakosea bali sema sisi waafrika bara letu hatuliwezi.
Sababu sisi hatushirikiani na wazungu wala hakuna muingiliano kati yetu.

Africa bara letu ndo lenye matatizo na wazungu mabara yao washayajenga na kumaliza matatizo yao yote hivyo wapo sahihi kufanya space EX hivyo hakuna cha kushangaa.

Ila kwa afrika ukianzisha mambo ya space lazima iwe ajabu sababu hatujiwezi kwa chochote na matatizo yanazidi kuongezeka bila utatuzi.

Mzungu hawezi kuishi na changamoto kwao walishamaliza zote wanaangazia mengine na kiendelea kuwa curious ila afrika hatuna curiosity wala utekelezaji na ndo chanzo cha kuendelea kuwa masikini.

Na kwakua sisi hatuingiliani nao wala sisi sio wao basi hilo la kuchimba chini baharini kwanini usilifanye wewe tujue kuna nini?

Na sio kwamba wote wamelundikana sehemu moja kwenye space "EX" bali wamegawana vitengo.

Na hicho ndicho kinachotafautisha kati ya mzungu na muafrika.
 
Wanazingua tuu..! Ka virus kadogo ka CORONA kametupeleka puta mbaya hayo ya Venus watayaweza kweli..??

Fikiria ka kirusi kanakufa na sabuni na maji ukitia pombe kanalewa zaidi kametupeleka mbaya yaani
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom