Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

magufuli alitakiwa aanze na kushukughulika na awamu yake,sio kufuatilia mambo yaliyotokea awamu iliyopita
We bwege kweli,kwani sakata la escrow liliisha?.kwanini mnataka kumpangia JPM kutofatilia maovu yaliyotendeka nchini ya JK?.mnahofia nini?.
 
Nnauhakika wengi humu lugha iliyotumika inawapiga chenga na wanarukia rukia na wao waonekane eti wamo.

Tumjibu Mafuruki kwa lugha aliyotumia kama kweli tumemuelewa.
 
Ningeshangaa kama bepari na nabii wa utajiri angeandika tofauti na haya. Hizi ndizo gharama za kuwanyenyekea wazungu kana kwamba Mungu wao ni mwingine.

Uwe unatumia akili...usiwe unaongea kama kihiyo.

Achilia mbali kuwanyenyekea wazungu angalia suala la zanzibar kama ni miongoni mwa rootcause ya hiyo mcc na mengine...unawezaje kumtupia lawama mzungu?

Mzungu kwan ndiye mshirika wa babu yako jecha?
 
Kuna fact moja ambayo watanzania hatutaki kuikubali, tunakusanya wastani wa trilioni moja kwa mwezi na tuna bajeti iliyozidi trilioni 19 hivyo basi mapato trilioni 12 na matumizi trilioni 19. Tofauti inayobaki inazibwa na mikopo na misaada. Wakati huo huo hata dawa hospitali hakuna na watoto wetu wanakaa chini. Kujitegemea ni wazo zuri ila linahitaji maandalizi
 

Ali Mufuruki, ndiyo jina lake...ameandika vizuri na points zake ni appealing, lakini this man is a capitalist and pro western countries. Asingeweza kuandika otherwise. The Americans will be enjoying...reading this article, which to them is a master piece, and it is, anyway in the eyes of supporters. That is, we have to engage the Americans and kneel to them to "to push for the restoration of relations as soon as possible". Mufuruki ni mnufaika wa mfumo uliokuwepo kabla ya Utawala huu. JPM, my President, ana kazi kubwa mno. We have to continue praying for him.
 
Ukitaka kujua kuwa mtu kafilisika akili kichwani ni kukosa kwake uwezo wa kufikiri. Vijana humu upeo wao umefika mwisho na kuilazimisha akili itafute mtu wa kumtupia mzigo (scape goat).

Masuala mengi ya mahusiano ya kimataifa yanataratibu zake, nchi inaamua kufuata kile inachokiamini kwa maslahi ya watu wake kwa siku za usoni hata kama kina madhara kwa muda mfupi.

Kabla ya kujiingiza kwenye kujadili hoja kwa kubuni tu, ni lazima kuitaka mamlaka inayohusika kutoa hoja za msingi juu ya sintofahamu hii ili kutupa nafasi ya kina kuijadili hiyo ripoti.

Waziri wa mambo ya nje ya nchi alitoa ufafanuzi ambao inawezekana haukukidhi haja na kushindwa kueleweka kwa kina.

Mamlaka husika wanasoma hizi sintofahamu, tafadhali watupatie maelezo ya kina ili tuachane na kujadili hoja kwa kubuni tu.
 
Tutalaumiana sana kwa hili kwa hatua hii tuliyofikia. Wengine watamlaumu Jecha Salum Jecha, wengine watamlaumu Kikwete kwa kutoingilia mgogoro huu wa kisiasa na hata wengine watalaumu Maalim Sefu kwamba kungangania kwake madaraka ndiyo kumetofikisha hatua hii.

UKWELI wa mambo ni huu: Kosa limeshafanyika na matokeo yake ndiyo haya. Hakuna njia nyingine ya kututoa hapa zaidi ya kukubali kosa na kuweka Realistic Corrective Action Plan
 
Tutajua kati ya polepole vs Ali mafuruki nani ni nani
 
We bwege kweli,kwani sakata la escrow liliisha?.kwanini mnataka kumpangia JPM kutofatilia maovu yaliyotendeka nchini ya JK?.mnahofia nini?.
ha ha ha,we ndo bwege kweli,kwani sakata la kagoda liliisha?
 
hakuna cha jecha wala nini,diplomatically mahiga anapwaya,actually hakujishughulisha hata kuzunguka kujaribu kuweka mambo sawa kama mwenzake membe alivyokuwa anafanya.
Nakumbuka tangu awe waziri mahiga amekwenda rwanda kumuomba kagame eti asahau yaliyopita,ha ha ha ha
 
some people do comment as if they have never been in Tanzania and experience the difficulties of living under irresponsible leaders, the best thing to do ;never comment lest you expose your foolishness
 
Foremost, Correct those parts which are underlined in red fonts. They are unusual collocations.

What a shame! What language did you use to appreciate the hopeless performance of the past? You know what, FaizaFoxy, as I was trying to emulate your good kiswahili, I ran short of differentiating words. by kulawiti, I meant to defile not to sodomize. Can you now see your misconception? The country was defiled by your darling.

Be calm, read carefully and try to think. This will help you avoiding misquotation of simple names like Mfuruki. I advise you not to despise Kiswahili for english language. Are you that much good at this language? I can try and whenever I fail, le français est l'option.

Note, we are not answering the thread, we are discussing.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…