Ventilation on MCC move is primed on wrong assumptions

Aisee kumbe tuna watu wenye akili sana nchi hii ila hatuwatumii vizuri, angalia mzee alivyochambua na kujenga hoja kwa watu wenye uelewa mzuri watachukua ushauri huu
Usimsifu sana huyo mwandishi. Ndo moja ya watu ambao wametumia vibaya sana PPP kwa kujidai business community.
 
It is my sincere hope that Magufuli will take this first class advice.
 
Magufuli ana kazi na uozo wa mtangulizi wake!
...Ni kweli.Ila ana nafasi ya Daktari.Kuuondoa uozo KWA KUTUMBUA USAHA katik jipu. Na kazi hii anaifanya vizuri.Nnamshauri ATUMBUE na huu USAHA (suala la Zanzibar).
 
Hiyo ni nzuri ya kusoma

http://s07.jamiiforums.com/mini/uyE8/bg_000000/txt_000000/border_000000/flags_0/
 
..learn to see justice takes its course, crime remains to be crime with no regard of time, even if it takes 100 years to be revealed!
hilo si tatizo basi,kama tunafuatilia ishu za nyuma si mbaya waanze pia kuanzia miaka ya 1961,wauaji wa mashirika ya umma,mashamba ya vijiji na maduka ya kaya watafutwe na kushughulikiwa,
lakini pia mapungufu ya leo yasiwe justifyed na awamu zilizopita,awamu hii ina uwezo wa kuanza clean,kuliko kujistify mapungufu yanayotokea kwa awamu iliyopita
 
Ni kweli lakini huwezi kuitenga Zanzibar na Tanzania, kwa sababu hiyo ni sehemu ya JMT, sasa kama sehemu ya nchi imeharibu adhabu ni kwa nchi, sio rahisi kuweka vukwazo kwa Zanzibar, nadhani katiba yetu ndio ina shida.

Mkuu katiba yetu wala haina shida ila wao ndio wenye shida hawataki kuielewa katiba yetu.Uchaguzi ungekuwa wenye matatizo ni wa JMT Tanzania bara na Zanzibar wangekuwa na haki ya kusema wasemavyo.Na ilitakiwa kama ao wanaitambua Jamhuri ya Tanzania tu basi hawa MCC baada ya kumaliza ule uchaguzi ndio wangetoa maoni yao kwani wao unawahusu zaidi ni wa JMT.hUO MWINGINE AMBAO NI WA zANZIBAR ambao sio wa JMT kwao ungekuwa hauna maana sababu ni sawa na kufanya uchaguzi wa monita wa darasa ukavurugika halafu MCC waje waseme tunaondoa misaada sababu uchaguzi wa monita wa darasa haukuwa huru na haki.

Kidiplomasia kama wanatambua JMT tu basi ilitakiwa waishie hata uangalizi wa kimataifa kwenye uchaguzi wa JMT Tu kisha waondoke zao sababu ndio nchi wanayoitambua kimataifa.Chaguzi zingine zote ni kama chaguzi za wenyeviti wa kijiji tu nk haziwahusu.Lakini wanajikoroga huku wanasema wanatambua JMT tu.Huku wanasema Zanzibar tunaijua ni sehemu ya muungano!!!!!! sawa ni ya muungano uchaguzi wa muungano ulishaisha huu uchaguzi mwingine wa kijiji cha Zanzibar kumchagua mwenyekiti wa kijiji mnauingiliaje tena wakati Zanzibar kimataifa haitambuliwi kama nchi?

Nasema ni wahuni tu hao
 
Ahaa, ndiyo maana Magufuli akasema hayamuhusu?

Nnauhakika lugha imekupiga chenga usingekuja na utumbo kama huu.

Huo ujinga wote wa MCC chanzo chake si uchaguzi wa Zanzibar.
 
Mufuruki anaongea kama kibaraka wa MCC.

CUF walishiriki uchaguzi wa marudio na wakapata kura chache.CCM ikashinda.Utaongeaje na mtu aliyeshindwa sanduku la kura?

CUF walishindwa kwenye uchaguzi wa matokeo yaliyotangazwa na tume YA UCHAGUZI.
Amri ya nane ya Mungu yasema usiseme uongo.
 
Sisi watanzania hatuwezi kabisa kuishi bila misaada.Tuanze na mawaziri warudishe magari .
 

Well observed, argued and excellent suggestions. Economic realities are obvious and in a free global trading world, nothing like what happened in Tanzania should have never happened. Big up Mafuruki!
 
mufuruki mwenye mwizi na tapeli mkubwa kapata fedha za dili dili tu
Tukiachana na hayo yako anachosisitiza Mafuruki ni kwamba misaada ni kitu kingine hata kama hatuitaki lakini mahusiano ni jambo muhimu sana na nyeti.
 
Kenya,Uganda ,DRC,Msumbiji hazipati hiyo misaada ya MCC na wanaishi.

Lazima na sisi tijifunze kuishi bila misaada,na mwanzo wa kujitegemea ndio huu lazima tupitie njia ngumu ndio tutajifunza.
 

Utaanzaje kupambana na rushwa ikiwa wala rushwa unao ndani? Yani ulitaka asiwaguse wala rushwa alafu apambane na wala rushwa wapya kivipi sijaelewa?

Ebu nipe mfano tukianzia na bandari.
 
Usimsifu sana huyo mwandishi. Ndo moja ya watu ambao wametumia vibaya sana PPP kwa kujidai business community.

Sisi watanzania hatuwezi kabisa kuishi bila misaada.Tuanze na mawaziri warudishe magari .

I have a feeling the first one to be sodomized in the contry was you, otherwise you wouldn't have come with such a gayish comment.

I challenge all those who are answering this thread to use the language used in the first post, by doing so we will be enlightened as to those who have really understood Mafuruki's message.
 
Kama ushahidi upo yanapaswa yafuatiliwe, watz tujifunze kufanya mambo yetu kwa uhalali..habari ya ujanja ujanja na bahati NO! una uhalali gani kama kiongozi na msimamizi wa haki kumshughulikia mhalifu wa leo unamuacha mhalifu wa jana ilhali aliyetendewa ubaya ni yule yule..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…