Duduvwili
JF-Expert Member
- Jan 31, 2015
- 4,700
- 4,902
Wavalie wapi kimsingi hawana jipya eti wakongwe kaziniHahahaaaa sasa hivi hawavai tena madera na kucheza taarabu!?.

Wavalie wapi kimsingi hawana jipya eti wakongwe kaziniHahahaaaa sasa hivi hawavai tena madera na kucheza taarabu!?.

Vengu ndiye aliyeanzisha kundi la Original Comedy pale CCM Makangira Msasani kisha akawakaribisha Akina MasanjaWengine hatumjui picha tafadhari.
Hili swali pia nilikuwa najiulizaga. SanaVengu yupo wapi anafanya nini
Dah... Vengu, Makangira matakoni mwa Magari Mabovu ubavuni mwa Mskitini.... Msasani.. kitaaaVengu ndiye aliyeanzisha kundi la Original Comedy pale CCM Makangira Msasani kisha akawakaribisha Akina Masanja
Ni kama ushoroba vile tuJF ya zamani watu walikuwa wanaweka habari na ushahidi...
JF ya sasa watu wanaweka taarabu tu
Hiki kizazi cha Sasa kimekaa ki insta insta! Kule mtu analeta habari ya mafumbo as if wote tunaishi nyumba moja.JF ya zamani watu walikuwa wanaweka habari na ushahidi...
JF ya sasa watu wanaweka taarabu tu
Ushoroba wa kusini?Ni kama ushoroba vile tu
Mkuu vengu kumbe bado upo hai? Ila wewe hukuwa unachekesha kabisa sema ulipata bahati ya kuwa kwenye lile kundi. Sikuwa nakuelewa kabisa, ila shukuru Mungu bado upo hai mana umeumwa sn.Endelea kuwa mbishi, komaa hivyo hivyo. Walidhania wangefanikiwa kukutoa qafra matokeo yake unakomaa na unazidi kuwa mbishi nakukataa kuondoka kizembe.
Yamechuja yamebaki kuwa kero kwenye jamii badala ya kuchekesha yanatukera.
Hafii mtu hapa!
Acha kuwazushia watu wale ni marafiki vibaya mno usiwachafue kwa chuki zako wewe duuh wewe umechanganyiikiwa jitafakari sanaUmiza kichwa weweee. Hafiii mutu hapa
Hapo mtoe huyo ngoma nagwa tuYamekaa kujipendekeza tu tena naona enzi ya Mama kama wanapotezewa hivi Masanja alikua kishaona fursa kwa kuwa chawa wa shughuli za mwenda zake ila kwa upande wa kuchekesha mpango mzima ni kina ngoma nagwa, Mkali Tin,mkojani,kilangaso et al ndio wachekeshaji kwa sasa sio hao Chawa watafuta fursa mazafaka zao
Niliona jakaya alimtembelea muhimbili enzi hizo,jakaya alisema vengu ana bacteria waliofika kwenye ubongoKama ni kweli hawakumfanyia poa kabisa
Wakajifunze kwa Joti! jinsi ya kuoiga kazi.Wajikite kufanya solo projects.