Vengu komaa hivyo hivyo

Vengu komaa hivyo hivyo

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,301
Reaction score
47,303
Endelea kuwa mbishi, komaa hivyo hivyo. Walidhania wangefanikiwa kukutoa qafra matokeo yake unakomaa na unazidi kuwa mbishi nakukataa kuondoka kizembe.

Yamechuja yamebaki kuwa kero kwenye jamii badala ya kuchekesha yanatukera.

Hafii mtu hapa!
 
kuna hawa wawili moro na muhaya alafu wote ni moro kuna kitu nilishawaanza kuwahisi ndio maana mwengine kamuona mungu sasa ni mchungaji
 
Ameshapata Pesa huyo mchungaji akaamua kuanzisha fursa nyingne
 
Endelea kuwa mbishi, komaa hivyo hivyo. Walidhania wangefanikiwa kukutoa qafra matokeo yake unakomaa na unazidi kuwa mbishi nakukataa kuondoka kizembe.

Yamechuja yamebaki kuwa kero kwenye jamii badala ya kuchekesha yanatukera.

Hafii mtu hapa!
Aisee
 
Hadi joti kayakimbia, yamekua manungayembe kuchekesha hayachekeshi hadi huruma.
 
Yamekaa kujipendekeza tu tena naona enzi ya Mama kama wanapotezewa hivi Masanja alikua kishaona fursa kwa kuwa chawa wa shughuli za mwenda zake ila kwa upande wa kuchekesha mpango mzima ni kina ngoma nagwa, Mkali Tin,mkojani,kilangaso et al ndio wachekeshaji kwa sasa sio hao Chawa watafuta fursa mazafaka zao
 
Hahahaaaa sasa hivi hawavai tena madera na kucheza taarabu!?.
 
Back
Top Bottom