Venezuela Pres. Nicolas Maduro Anusurika Kuuawa

Ile cryptocurrency aliyoizindua mzee Maduro kama suluhisho la kushuka thamani kwa sarafu yao imeishia wapi?
 




Rais wa Venezuela amenusulika katika jaribio linalosemekana la kutaka kumuua kwa kutumia drone device, wakati akihutubia mkutano mjini Caracas. Rais Maduro hakupata madhara yoyote katika tukio hilo ingawa wanajeshi saba waliumia.

Television ya Taifa ilionyesha hotuba ya Rais ikikatishwa ghafla wakati wa sherehe (National Guard's 81 anniversary)
Waziri wa habari wa Venezuela amenukuliwa akisema, "There had been an "attack" against the president involving drones loaded with explotives.
Maduro is "fine" and continuing to work"


Maduro alikuwa kasimama pembeni ya mke wake Cilia Flores na baadhi ya maafisa wa Jeshi. Video ilimuonyesha Flores kushtuka na kuangalia juu baada ya mlio wa milipuko.

Venezuelan president Nicolás Maduro survives drone assassination attempt

hawa wamarekani wapumbavu sana. Mashetani wakubwa. Wamemuua cheves sasa wanamnyemerea na huyu. Mashetani wakubwa hao
 
Back
Top Bottom