Nimeshangaa sana Marekani kutuma ujumbe mzito Venezuela kukutana na Maduro

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
13,882
29,488
Mzuka wanajamvi!

Marekani ikiwa mbioni kuiwekea vikwazo mafuta ya Urusi tayari imeshatuma ujumbe mzito Venezuela kukutana na Rais wa Venezuela Nicholas Maduro.

Ujumbe huo mzito wa Marekani na Maduro watazungumzia jinsi ya kulegeza au kuondoa vikwazo Marekani ilivyoiwekea Venezuela hili waweze kununua mafuta baada ya kuiwekea vikwazo Urusi.

Sasa sijui Maduro atamsaliti Urusi? Kumbuka wakati wa vikwazo Urusi, China na Iran ilikuwa inamsaidiasaidia kumpiga jeki jamaa.

Ila Maduro achangamkie hii fursa kwasababu sasa hivi Venezuela hali mbaya njaa kali.

Nimeamini Marekani hana adui wala rafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu.

Kila la kheri Maduro

Venezuela's Maduro says work agenda agreed with U.S. delegation​

Tue, March 8, 2022, 6:17 AM
31b4c0b2ed8b3d32ea9cac8468a41781

FILE PHOTO: Venezuela's President Nicolas Maduro and Russian Deputy Prime Minister Yury Borisov meet in Caracas

CARACAS (Reuters) - Venezuela's President Nicolas Maduro on Monday said he agreed an agenda for future talks with a U.S. delegation that he met on Saturday, the first high-level meeting between the two countries in years.
Officials from the two countries discussed easing oil sanctions on the South American country but made little progress towards reaching a deal, five sources familiar with the matter told Reuters on Sunday, part of U.S. efforts to separate Russia from one of its key allies.

"Last Saturday night a delegation from the government of the United States of America arrived in Venezuela, I received it here at the presidential palace," Maduro said in a broadcast on state media.

"We had a meeting, I could describe it as respectful, cordial, very diplomatic," he said.
The meeting lasted two hours, he said, without specifying the topics discussed or who the U.S. delegates were.
Sources previously told Reuters the U.S. delegation was led by Juan Gonzalez, the White House's top adviser on Latin America, U.S. Ambassador James Story, as well as Roger Carstens, the United States' presidential special envoy for hostage affairs.

Earlier, White House Press Secretary Jen Psaki said the purpose of the trip was to discuss a number of issues, including "energy security" and the cases of nine U.S. citizens who are in prison in Venezuela.

The talks will continue, Maduro said, without offering a date.

"As I said to the (U.S.) delegation, I reiterate all our will so that from diplomacy, from respect and from the hope of a better world, we can advance in an agenda that allows well-being and peace," Maduro said.
 
Urusi amewashika pabaya sana sasa ni wazi EU itakuwa imekataa ombi la marekani la kukataa mafuta ya urusi,baada ya swala la gas kuwakalia kooni mpaka mda huu nilijua tu ulaya hawana kifua cha kukataa mafuta ya mrusi kwa sasa...marekani anajidhalilisha sasa na unafki wake unaonekana hadharani...
 
Maduro anaangalia ustawi wa taifa lake na wananchi wake. Hao warusi wameshindwa kuisaidia Venezuela kustawi kiuchumi chini ya vikwazo vya US. Ni Bora vikwazo viondolewe ili mambo yaende sawa.
Hao sio kama walafi na wanafiki wakimagharibi........lolote atakalo amua Maduro lazima kuna namna litakua na manufaa kwa urusi...........wajamaa hawana mambo ya kua kigeugeu kama yule mjomba aliemsakizia mwenzie adundwe na mrusi halafu akamkimbia
 
Maduro atafanya maamuzi wa manufaa ya wavenezuela wala sio warusi. Warusi wapambane na hali yao na anayeamua kwa manufaa yao ni Putin wala sio Maduro.
 
Mzuka wanajamvi!

Marekani ikiwa mbioni kuiwekea vikwazo mafuta ya Urusi tayari imeshatuma ujumbe mzito Venezuela kukutana na Rais wa Venezuela Nicholas Maduro.

Ujumbe huo mzito wa Marekani na Maduro watazungumzia jinsi ya kulegeza au kuondoa vikwazo Marekani ilivyoiwekea Venezuela hili waweze kununua mafuta baada ya kuiwekea vikwazo Urusi.

Sasa sijui Maduro atamsaliti Urusi? Kumbuka wakati wa vikwazo Urusi, China na Iran ilikuwa inamsaidiasaidia kumpiga jeki jamaa.

Ila Maduro achangamkie hii fursa kwasababu sasa hivi Venezuela hali mbaya njaa kali.

Nimeamini Marekani hana rafiki wa kudumu bali maslahi ya kudumu.

Kila la kheri Maduro

Venezuela's Maduro says work agenda agreed with U.S. delegation​

Tue, March 8, 2022, 6:17 AM
31b4c0b2ed8b3d32ea9cac8468a41781

FILE PHOTO: Venezuela's President Nicolas Maduro and Russian Deputy Prime Minister Yury Borisov meet in Caracas

CARACAS (Reuters) - Venezuela's President Nicolas Maduro on Monday said he agreed an agenda for future talks with a U.S. delegation that he met on Saturday, the first high-level meeting between the two countries in years.
Officials from the two countries discussed easing oil sanctions on the South American country but made little progress towards reaching a deal, five sources familiar with the matter told Reuters on Sunday, part of U.S. efforts to separate Russia from one of its key allies.

"Last Saturday night a delegation from the government of the United States of America arrived in Venezuela, I received it here at the presidential palace," Maduro said in a broadcast on state media.

"We had a meeting, I could describe it as respectful, cordial, very diplomatic," he said.
The meeting lasted two hours, he said, without specifying the topics discussed or who the U.S. delegates were.
Sources previously told Reuters the U.S. delegation was led by Juan Gonzalez, the White House's top adviser on Latin America, U.S. Ambassador James Story, as well as Roger Carstens, the United States' presidential special envoy for hostage affairs.

Earlier, White House Press Secretary Jen Psaki said the purpose of the trip was to discuss a number of issues, including "energy security" and the cases of nine U.S. citizens who are in prison in Venezuela.

The talks will continue, Maduro said, without offering a date.

"As I said to the (U.S.) delegation, I reiterate all our will so that from diplomacy, from respect and from the hope of a better world, we can advance in an agenda that allows well-being and peace," Maduro said.
Maduro yuko mtegoni hapo...
 
Back
Top Bottom