inakoendea venezuela lazima wataanza kuzichapa wao kwa wao, maisha magumu inflation inakaribia asilimia milioni moja, kila kukicha watu wanakimbia nchi, colombia mpk sasa ishapokea wakimbizi laki nne, kwakweli maduro yupo kwe wakati mgumu sana na hivi assassinations attempts zimeshaanza duh cjui itakuwaje
yeah, sureHalafu hii ni mara ya pili?!, wanamtafuta haswa!
Kifo si cha mchezo mchezo.kumbe wale wanajeshi wa magwaride na maonyesho pakiwaka huwa wanatoka nduki
Mnaojuaga kuchambua siasa mtufundishe.
Nini kimefikisha Venezuela ilipo?
We acha tu, uzuri wanaitwa wachambuzi na sio mafundi au wataalam. Siasa kama mpira tu. Wachambuzi wengiiiii.
Venezuela hii hii wakati wa Hugo ilikua imenawiri kiasi cha yule rais kuwafukuza mashirika kama WB kwamba haihitaji msaada wao ndio imefikia hapa?
Acha tusubirie wachambuzi tu..haina namna.
Yaani inafika mahali ni kuombea amani tu katika nchi ndogo zenye utajiri mkubwa maana mdhungu ndio anaziwinda kama simba.Thanks. That much I know kwamba Venezuala ilikuwa inafanya vizuri.
I guess bila stability ya nchi hamna kinachoweza kusogeza nchi mbele.
Walikuwa na proper housing system na medical facilities zilikuwa njema sana kama sijakosea.
Yaani inafika mahali ni kuombea amani tu katika nchi ndogo zenye utajiri mkubwa maana mdhungu ndio anaziwinda kama simba.
Ni kuomba ulinzi wa kimungu tu walahi!
Naskia alipishana kauli na wakubwa,Mnaojuaga kuchambua siasa mtufundishe.
Nini kimefikisha Venezuela ilipo?
Dah. Wa akina Trump sio?Naskia alipishana kauli na wakubwa,