Vehicle diagnostic services

mussamiraji

Member
Dec 28, 2013
54
3
AGRICULTURAL MACHINERY,FIAT,BORMAG ROLLER,PERKINS MACHINES,BENZ n.k
Mchanganuo wa gharama ni kama Ifuatavyo
1.Magari madogo ya Japan - $30=30 × 2195=Tshs.65,850/=
2.Magari size ya kati- $50=50 × 2195=Tshs.107,500/=
3.Magari aina ya Fuso- $70=70 × 2195=Tshs.156,650/=
4.Lories-$100=100 × 2195=Tshs. 219,500/=
5.Excavator-$200 × 2195=Tshs.439,000/=
6.other Heavy Equipment-$300-$400=Tshs.685,500/= hadi Tshs.878,000/=

Kwa makubaliano ya gharama za usafiri tunamfikia mteja mahali popote gari lilipo kwa ajili ya Matengenezo.

Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa simu na. 0766583227
 
mm hata sikuelewi kabisa musamiraji why dora dora dora kwani ww ni wa dorari?? mashine kupima peke yake ndio garama zake ni madora hayo?? hembu fafanua vizuri basi wenye shida tukuelewe basi.
 
Bei zako zipo juu sana, unataka kutengeneza profit kwa mda mfupi, hizo mashine zipo online bei za kawaida.
 
Back
Top Bottom