Vazi la ufukweni

Hayo manywele ndio garden love o? na hapo chin kulivyotuna kama kaweka mchanga wa ufukweni
 
Ubunifu huo Diamond akiona hii ata copy na kupaste
 
hivi wale komedi wetu walikoua wanajipaka mikaa na kitembea mitaani wakoo wapi siku hizi, huyu angejiunga nao
 
Duh.. Naona "bikini" inamsugua pande za toilet.. Kama sio mshumaa baci muda c mrefu atakuwa..
 
Ubunifu umewajaa, noma ni pale utakapo kutana na mama mkwe wako ukiwa kwenye hicho kivazi
ulaya hakuna aibu kwa mama mkwe!!!haina shida,na tanzania hilo vazi litavaliwa dar,huku nako mama wakwe wamekuwa wa mjini hivyo hakuna noma,tupia kitu Bujibuji!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…