Vazi la ufukweni

Bujibuji Simba Nyamaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
74,871
155,841
borat-neon-green-swimsuit20.jpg
borat-mankini-very-nice.jpg
 
hivi wale komedi wetu walikoua wanajipaka mikaa na kitembea mitaani wakoo wapi siku hizi, huyu angejiunga nao
 
Duh.. Naona "bikini" inamsugua pande za toilet.. Kama sio mshumaa baci muda c mrefu atakuwa..
 
Ubunifu umewajaa, noma ni pale utakapo kutana na mama mkwe wako ukiwa kwenye hicho kivazi
ulaya hakuna aibu kwa mama mkwe!!!haina shida,na tanzania hilo vazi litavaliwa dar,huku nako mama wakwe wamekuwa wa mjini hivyo hakuna noma,tupia kitu Bujibuji!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom