Halafu km sikosei kuna WAZIRI alizindua mchakato wa kupata hilo Vazi sijui hata kama anakumbuka..Nchi ya ajabu hii eti vazi la taifa linatafutwa kwa mchakato unaogharimu hela
Halafu km sikosei kuna WAZIRI alizindua mchakato wa kupata hilo Vazi sijui hata kama anakumbuka..Nchi ya ajabu hii eti vazi la taifa linatafutwa kwa mchakato unaogharimu hela
Tanzania yetu ukiona kitu kimeanza kwa mbwembwe ujue basi kina ulaji na harufu ya ufisadi lakini kama ni cha haki sawa kitatupwa kapuni mpaka mwisho wa dahari.Vazi la taifa halina maslahi kwa hiyo halizungumziki labda mapaka hapo tutakapopata wafadhili