Vazi la Shela; Linafuliwaje nyumbani pasipo kulipeleka kwa dobi?

Sokoro waito

JF-Expert Member
Nov 21, 2014
2,201
2,598
Hamjambo wadau;

Napenda kufahamishwa kuhusu aina ya sabuni na vifaa ama mahitaji muhimu yanayotumika katika ufuaji wa vazi la shela ukiwa nyumbani pasipokuipeleka kwa dobi.
 
ukiweza kupata maji ya mvua ni bomba sana sabuni ya omo ni nzuri lakini hubadilisha rangi jaribu foma.
 
kama huwezi kujibu kama mwanamke anayejitambua, bora ukatulia tu.
nadhani wewe ndiyo hujitambui ... hayo mavazi yanashauriwa yafuliwe na mashine kutokana na urembo uliopo kwenye hiyo nguo.. sasa wewe unaomba ushauri unapewa jipo unatoa majibu ya shombo .... haya unayejitambua kafue unavyodhani wewe sasa kulikua na haja gani ya kuja kuuliza hapa ?
 
Huyu ulikuwa umtoze hela then ndo umshauri, sijui ilikuaje ukamshauri bure bure
 
Back
Top Bottom