Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,016
- 142,779
AmependezaNi Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
mi Tanzania ndivyo tulivyo..
Mtani Nyani Ngabu, mbona hata Rais Magufuli alitinga 'gwanda za kijeshi' kule Arusha? Rais aweza kuvaa atakavyo, kikubwa ni kuwa mavazi ya heshima na staha
Mbn magu alishawahi kuvaa vazi la kijeshi
Ova
Mara nyingi aina ya mavazi huonesha tabia ya ndani ya mtu hasa mtu huyu akiwa na uchimi au uwezo wa kuvaa atakavyo!Mtani Nyani Ngabu, mbona hata Rais Magufuli alitinga 'gwanda za kijeshi' kule Arusha? Rais aweza kuvaa atakavyo, kikubwa ni kuwa mavazi ya heshima na staha
Hivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!Ni Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
Rushwa ilivyosambaa nchi nzima ndo (Uhuru) alijiandaa kuwa Rais?Poor you.Kenyatta anajitambua.
Alijiandaa kuwa rais
Huyu wakwetu ilikuwa sandakalawe..., mwenyekupata ..apate
Rushwa ilivyosambaa nchi nzima ndo (Uhuru) alijiandaa kuwa Rais?Poor you.
Sidhani kama unalolisema linaukweli ,hata kama kuna chuki zingine Ila kwa hili si kweliHivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
na wewe.uwe rais tukuone unavyodandia mavaziHivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
Mliambiwa na nani?Ndiyo, lakini tuliambiwa kwamba kavaa hivyo sababu yeye ni dikteta....
Hivi unajua kuwa Rais wa Kenya ana vazi maalum la kijeshi ndani ya jeshi? Huyu wa kwetu hata haelewi taratibu za mavazi ya kijeshi. Yan anadandia dandia tu!
Magufuli alishavaa hivyo ila sikumbuki kama aliitwa dictatorNi Jamhuri Day huko Kenya na Rais Kenyatta kavaa kijeshi!
Angekuwa ndo Rais Magufuli kafanya hivyo majuzi kwenye sikukuu ya Uhuru pasingekalika humu.
Mliambiwa na nani?