na figa??kanga muhimu kila mwanamke kuwa nayo
figa wengine hatuna ila kanga muhimuna figa??
Umenikumbusha maneno ya Sheikh Kipozeo....[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Tena khanga ikivaliwa na mwanamke mwenye Neema za Allah wallah shekhe Ni hatari.
Jinsi ulivyo ielezea kidogo nimestuka [emoji15] aiseeee....Ha ha ha ina raha yake kanga! Hasa uipate cotton ya Urafiki au nyepesi ya Zanzibar sio mtelezo! It can do wonders!
Wewe unayo?kanga muhimu kila mwanamke kuwa nayo
ninazo nyingiWewe unayo?