ha ha ha ha -- mwezi mtukufu huu jamani lazima tupeane kampani si kwa futari tu hata mavazi. nishamwambia ma msapu atayarishe kanzu yangu ya kibaragashia cha ki ushikaji tayari kujiandaa kwa pilau la idd - nimealikwa magomeni mwembechai kushirikiana na waumini wa hapo. sisi sote ni dugu moja.