haa mym
JF-Expert Member
- Jul 7, 2014
- 4,885
- 4,680
Apo vipi kiongozi
Apo vipi kiongozi
Waache unafiq vatican
Wakuu #haamym & msemakweli punguzeni ukali wa utani wenu jamani..wengine tunakwazika sio vizuri.
Unajua ni nchi za watu gani unapoteza kichwa chako ukifanya kamaMkuu una bifu na kanisa katoliki Papa hajawai kusuport huu upumbavu,hii ishu ya ushoga ipo kwenye jamii na kama kanisa wanajua kuna tatizo lakn kuna makundi ya watu wengine wanajifanya wao watakatifu wanabaki kulisakama kanisa utazani hili tatzo halipo kwenye dini zao au jamii zao lakn mifano tunayo hata hapa Tanzania sehem walipo mashoga wengi ni sehem za hao hao wanaojifinya malaika kwamba kwao hakuna mashoga wakati amejaa kibao
Huenda wewe ndio huelewi. Wapenzi wa jinsia moja sio lazima wawe wanaume, hata wanawake. Sasa wanawake utawaita mashoga? Bora ungeendelea kukaa kimya tusingekujua vizuri, kuliko ulivyoongea tukagundua uwezo wako mdogo wa kujua mambo mbalimbalimbona hili neno mnalirembaremba?
eti "mpenzi wa jinsia moja"
Sema SHOGA tu au MFIRAJI kama sio MFIRWAJI
Mashoga maarufu wa Dar ni waisilamu, Anti Bilal, Anti Asu (Athuman) nk..... wanabaki kulisakama kanisa utazani hili tatzo halipo kwenye dini zao au jamii zao lakn mifano tunayo hata hapa Tanzania sehem walipo mashoga wengi ni sehem za hao hao wanaojifinya malaika kwamba kwao hakuna mashoga wakati wamejaa kibao
Unajua ni nchi za watu gani unapoteza kichwa chako ukifanya kama
yule mchungaji wamarekani aliyeolewa na dume mwenzake
Wachambuzi wa Masuala ya Vatcan wanafikiri wanasema iajpokua Vatican haijatoa tamko lolote kunusu Balozi huyo ni dhahiri Vatican haikubaliani na Uteuzi huo.wa Ufaransa.
Jumapili hii katika Maadhimisho ya Misa:Ibada itakayoongozwa na pope Fransis waamini wengi wanategemea kumsikia papa akito tamko.
Msemaji wa Vatican Fadher Federico Lamberd vile vile anataraniwa kutoa tamko la vatican mapema wiki hii.
ikumbukwe si mara ya kwa Nchi za Ulaya Magharibi kujaribu Kuwapeleka Mabalozi wanaoshiriki Mapenzi ya Jinsia moja lakini hata hivyo Vatican haikuwahi kukubali Mabalozi Mashoga.
Huyu hapa upande wa kushoto mwa pope francis balozi wa hao jamaa.
Akafie huko, shetani mkubwa. Hasichafue vatican.
Hata kama unataka akafie huko, you don't know that Vatican is works very very carefully in gender issues, and sometimes they feeds to see feedback!.
how Man? i do not catch your point...
U can't catch me guy, course i wrote very strong baffled.
Unahitajika kupata kujua zaidi ili uelewe nimeandika nn..!!
Ok, but i hope you believe in church doctrine.
Not on that ideology.