Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Ni karibia mwaka sasa tangu 18% VAT iwekwe kwenye Utalii, mwanzoni kama ilivyo kawaida yao, watu walijaza serva hapa kupinga na kila siku kutoa matamko kwamba ingefukuza Wataliii Tanzania na maneno mengine meengi, sasa naomba mrejesho ni asilimia ngapi ya Hoteli zimefungwa kwa sababu ya VAT yaani kwa sababu Watalii wamepungua? Ni Watanzania wangapi wamepoteza kazi kwenye sekta ya Utalii kwa sababu ya VAT? Na je Tanzania imepoteza Watalii kiasi gani?
Kwangu mimi kama kuna mtu alikuwa anatafuta ushahidi basi ni ushahidi tosha kwamba Serikali yetu iko sawa na Upinzani ndiyo hawako sawa na hawajui walisemalo wala walifanyalo, hivyo hata hili la Madini miaka michache baadaye tutaaangalia nyuma na kusema Serikali ilikuwa sawa, ...