sasa kama mwenzake amemwalika huko akatae?
hivi wewe rafiki yako akikualika kwake umtembelee wewe utatoa nje?
Simtetei ila hapa siku za nyuma Khama alikuja Arusha ktk shughuli fulani ya Kijeshi hule Monduli..ndo akamwalika!
Sasa sijui ni kwa nini vingozi wengine kama m7, au Kibaki nao huwa hawaalikwi mara kwa mara kama yeye!
Hiyo siyo mwaka huu.Mpaka mwakani...Mkulu mie huwa nampendia kitu kimoja tu..anajua kupiga pamba..
Kitu ambacho sikipendi katika politics ni kuwa kama Makamu wa Rais..yaani Mzee Shein na heshima zake zote huwa anakwenda kumuaga na kumpokea!
Protokali zilizopitwa na wakati,sijawahi kumuona dubya akiagwa kama huyu Mkulu wetu!
Kazi ya Shein ni nini hasa?
Rais wenu alilambwa na mbwa miguu wakati akiwa mdogo!! mtu yeyote ambaye hatulii kwake siku zote yuko kwa watu,mara zote miguu inawasha kutembea,wahenga walisema mtu huyo alilambwa na mbwa miguu yake!! mbwa huwa hatulii ni kiguu na njia muda wote!!
Acha amalize mumpige chini, kwanza sidhani kama anaelewa aliyoyafanya anao ujasiri wa kuja waomba kura tena, bora apotelee mbali huko huko, ccm waje na mtu mwingine!
Labda sura zao hazina mvuto. kwi kwi kwi!sasa kama mwenzake amemwalika huko akatae?
hivi wewe rafiki yako akikualika kwake umtembelee wewe utatoa nje?
Simtetei ila hapa siku za nyuma Khama alikuja Arusha ktk shughuli fulani ya Kijeshi hule Monduli..ndo akamwalika!
Sasa sijui ni kwa nini vingozi wengine kama m7, au Kibaki nao huwa hawaalikwi mara kwa mara kama yeye!
Labda sura zao hazina mvuto. kwi kwi kwi!
Mwacheni akaombe misaaada. Si unajua tena Economy crisis ya dunia serikali inabidi zitumie reserve. Sasa kama alikuwa na 0.8 inawezekana sasa hana kitu ckwa ajili ya ku-bust economy. Sasa si mnajua jinsi Botswana walivyo na reserve kibao, you never know anajalibu kukopa kuja kustimulate economy ya Bongo (JOKE!!!!!!!!!!!)
wanamualika wa kwetu kwa kuwa wanajuwa hana ratiba...unaweza kumuita nytime ..cheap!!!..
Botswana wanasema kaenda ku chat na mwenyeji wake (hawajatoa agenda ya maongeni, ni kwamba hakuna mada maalum ) halafu akitoka hapo anaenda kufungua hospitali, kwisha.
Gaborone -The President of the United Republic of Tanzania His Excellency, Mr. Jakaya Mrisho Kikwete is expected to visit Botswana on the 23rd 25th April, 2009. President Kikwete will during the visit hold official talks with His Excellency Lieutenant General Seretse Khama Ian Khama, President of the Republic of Botswana. The Speaker of the National Assembly Hon. Patrick Balopi and the Leader of Opposition Hon. Otsweletse Moupo will pay courtesy calls on President Kikwete. President Kikwete is also scheduled to officially open the Maun Referral Hospital.
...safu ya viongozi kwenda kuaga msafara, kisha safu ya viongozi kwenda kupokea msafara!
...hili liinchi linazalisha nini cha kutufanya tuweze kutumbua namna hii hizi pesa za kujiombeleza kila kukicha?!!
...safu ya viongozi kwenda kuaga msafara, kisha safu ya viongozi kwenda kupokea msafara!
...hili liinchi linazalisha nini cha kutufanya tuweze kutumbua namna hii hizi pesa za kujiombeleza kila kukicha?!!
Hapo petroli na makulaji ya kumuaga si ajabu mabilioni yameanguka 🙁
...Hakiyanani tena hii misafara ya Rais wetu, haswa hizi protocol zilizopitwa na wakati zinauzi mpaka basi tu... i get so angry i wish the whole gadayym thing could just blow up into ashes tujue moja.
...halafu hicho kindege wamekifanya kama AirforceONE! kinaparamia kila bara kila nchi utafikiri ni cha nchi inayozalisha mafuta!
Protocal mbadala ya kumsindikiza raisi iwaje?