Kweli kaka, nimekuwa nikipata mashaka sana juu ya matangazo yao na uhalisia ulioko katika wizara ya Kilimo na ufugaji kwamba wizara imeshindwa kutoa tamko kwa wakulima kuchangamkia hii fursanipo Njombe now mkuu na hao watu niliwatembelea kutafuta ubuyu tu ila kwa maelezo yao na nikaongeza na yangu siwezi kusita kusema hao ni MR KUKU WATARAJIWA MKUU kama unataka kuwekeza Njombe wee njoo ulime parachichi tu huku kwingine ni kuzugana tu.
Ndio hivyo mkuu kilimo chenye tija now kwa Njombe ni parachichi tu na watu wanakuja kwa wingi kuwekeza mno japo pia panahitaji umakini wa kununua ardhi.Kweli kaka, nimekuwa nikipata mashaka sana juu ya matangazo yao na uhalisia ulioko katika wizara ya Kilimo na ufugaji kwamba wizara imeshindwa kutoa tamko kwa wakulima kuchangamkia hii fursa
Nimewaatukia mapema Sana nasubiri mudanipo Njombe now mkuu na hao watu niliwatembelea kutafuta ubuyu tu ila kwa maelezo yao na nikaongeza na yangu siwezi kusita kusema hao ni MR KUKU WATARAJIWA MKUU kama unataka kuwekeza Njombe wee njoo ulime parachichi tu huku kwingine ni kuzugana tu.
Kwa hiyo research imefanyika vibaya, ni kwel matokeo yatakuwa hayaridhishiVanila 1mil ni bei ya 2018. Vanilla iliyokauka.
Na ni bei ambayo haijawahi jirudia tena.
Ukiambiwa Vanilla Kagera ni 60,000/= basi zidisha kwa 10, unapata 600,000/=. Hiyo ndio inakuwa bei ya Vanilla iliyokaushwa.
Kwa ujumla Vanilla iliyokaushwa ni mara 10 ya bei ya Vanilla mbichi.
Njombe Vanilla haitokaa istawi itoe matokeo kama wanavyotaka Vanilla Village. Maana Vanilla haitaki baridi kali kama ya Njombe.
Watu wa Morogoro, Pwani, n.k wana fursa ya kulima Vanilla ya kutosha na sio Njombe.
UpigajiWadau poleni na majukumu
Baada ya kipindi kirefu toka rafiki yangu anipe story juu ya zao la vanilla huko kwao Kagera na jinsi linalindwa haswa wakati wa kuvuna nilipata shauku ya kujua zaidi lakin kutokana na majukumu mengine sikuweza kufuatilia sana.
Ila kwa muda wa miezi mitatu sasa nimekuwa nikisikia matangazo kwenye Tv kuhusu Vanilla village huko Njombe na kinachonivutia na kuniogopesha pia ni juu ya bei 1kg/1M yaan hiyo hela kwa 1kg inaniogopesha sana kwan kwa maelezo ya awali niliambiwa kulingana na soko kuna wakati inafika Elfu 70Tsh sasa kuona tena hiii 1M kwa 1kg ikanishangaza.
Naomba mwenye ufafanuzi juu ya hili anisaidie kama ni fursa kweli niichangamkie[emoji120]
Miradi Ya Wakubwa Hiyo Inaelekezwa Kwa Wanyonge WalizweUpigaji
Hiyo bei ya elfu 60 ni ya mwaka gani? Wenzio msimu wa mwaka huu tumeuza kwa elfu 30 na waliochelewa waliuza kwa elfu 25. Wengine waliuza kwa mkopo mpaka leo bado wanadai, hawajalipwa. Au wewe mwenzangu upo Kagera ipi?[emoji2][emoji2]Vanilla kuuzwa kg 1 milioni Ni utapeli..
Bukoba tumelima vanaila miaka mingi Sana..Bei kwa kilo sio zaidi ya elfu 60..
Sasa mbona nilileta uzi sijajibiwa jamani kumbe bei ya kagera ni 30K? Mi naitaka hio Vanilla jamani. Naweza ipata hata kilo 10 tu? Iliokauka vizuri yani.Hiyo bei ya elfu 60 ni ya mwaka gani? Wenzio msimu wa mwaka huu tumeuza kwa elfu 30 na waliochelewa waliuza kwa elfu 25. Wengine waliuza kwa mkopo mpaka leo bado wanadai, hawajalipwa. Au wewe mwenzangu upo Kagera ipi?[emoji2][emoji2]
Sent from my SM-A205F using JamiiForums mobile app
Njoo Pm chap tufanye biashara. Ipo first gradeSasa mbona nilileta uzi sijajibiwa jamani kumbe bei ya kagera ni 30K? Mi naitaka hio Vanilla jamani. Naweza ipata hata kilo 10 tu? Iliokauka vizuri yani.