and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 27,921
- 39,114
Vision 2035
Vanesa Mdee amepanic wakati jamaa anamuongelea very positive.
Meneja wa Vanessa ana jukumu la kumdhibiti asishiriki mahojiano yoyote mpaka stress ziishe otherwise atazidi kujivua nguo yeye mwenyewe kwasababu Jux yeye akiulizwa anajibu very positive.
jux kafanya jambo zuri sna
Sisi kama mabaharia tumuunge mkono kwa kwenda kutafuta stapus huko nje
Pongezi kwa awamu ya tano kwa kurahisisha maisha mpaka haya yanatokea
Hakuna mwanadamu mkamilifu, hata wewe una mapungufuSina la kuongeza POINT .....