MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 10,090
- 22,374
Skilinganisha na akili zake anaona hiyo 11.19 ndo kipanga.Div II.19 ndio ukipanga mkuu?
Ili uwe na hiyo Div kwa wakati huo, wastani mzuri wa grade walau ulipaswa kuwa hivi B B C C C C C, hapo B = 61 - 80, C = 60 kwenda sijui hadi ngapi huko chini nimesahau ila kamq sikosei ni 41. Hapo kama kuna somo alipata A basi kuna mengine alipata D
2003 form 4 halafu sasa hivi 2023 utaisikia anakuambia ana miaka 28Wakuu natumaini mko poa. Nawasalimu katika jina la CCM.
Mimi nikiwa kama mdau wa elimu nimefurahishwa sana na nilichokiona leo mtandaoni. Nimeona matokeo ya mitihani ya kidato cha nne ya Mwanamuziki mkubwa nchini komredi Vanessa Mdee. Kahitimu mwaka 2003 ambao pia ni mwaka ambao Komredi Jokate Mwegelo alihitimua.
Hawa mabinti wadogo wawili walifanya vizuri sana kwenye mitihani yao. Inajulikana Jokate alipasua division one kali sana pale Loyola ila kwa Vanesa imekuwa haisemwi sana kuhusu elimu yake. Ukiangalia matokeo ya Vanesa form IV utaona alipiga Division II.19 (Tamka Two ya 19) huku akiwa pia kafanya vizuri masomo ya sayansi kama ilivyokuwa kwa Jokate.
Sijui zaidi kuhusu nini kiliendelea baada ya matokeo hayo ya form IV ila itoshe kusema kuwa Vanessa alikuwa kipanga shuleni. Hii nimeandika makusudi ili mabinti walio shuleni wajue shule ni muhimu kuliko kukimbilia umaarufu huku kichwani ukiwa mtupu. Vanessa na Jokate ni mifano hai ya kuigwa na wasichana wote Tanzania.
Kwahiyo ni kilaza? Acha chuki za kifala wewe.Div II.19 ndio ukipanga mkuu?
Ili uwe na hiyo Div kwa wakati huo, wastani mzuri wa grade walau ulipaswa kuwa hivi B B C C C C C, hapo B = 61 - 80, C = 60 kwenda sijui hadi ngapi huko chini nimesahau ila kamq sikosei ni 41. Hapo kama kuna somo alipata A basi kuna mengine alipata D
Punguza chuki za kipumbavu. ItakusaidiaSkilinganisha na akili zake anaona hiyo 11.19 ndo kipanga.
Uhuru wa kuongea ni utumwa pia
Miaka 23. 😄 aibu hawanaga2003 form 4 halafu sasa hivi 2023 utaisikia anakuambia ana miaka 28
Haiwezekani.Sawa...next time tupe matokeo ya Gigy!
Gigy ni kikiSawa...next time tupe matokeo ya Gigy!
Ana miaka 35, alizaliwa June 7 19882003 form 4 halafu sasa hivi 2023 utaisikia anakuambia ana miaka 28
Kwani akikuambia hivo unapungukiwa Nini?2003 form 4 halafu sasa hivi 2023 utaisikia anakuambia ana miaka 28