Vanessa Mdee aeleza sababu inayomfanya kuendelea kukwepa swali la kama yupo kwenye uhusiano

explicity

JF-Expert Member
Oct 9, 2015
207
140
Hivi karibuni alipokuwa Kenya, Vanessa Mdee alihojiwa kwenye kipindi cha The Trend cha NTV na moja ya maswali aliyoiulizwa ni iwapo ana boyfriend.


913c9ba7dee223e1272664c56d53508c.jpg


Vanessa ameiambia Bongo5 sababu ya kufanya hivyo licha ya kujulikana wazi kuwa ana uhusiano na Jux.
“Always nikiwa kwenye interview napenda kuavoid maswali ambayo yanahusiana na Juma (Jux),” anasema.
“For every simple reason, interview inakuwa ya Juma tena, tuna changamoto nyingi tayari wanawake kwenye game so I don’t want to be known as Juma’s girlfriend always. Kuna vitu ambavyo nataka kuongelea, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea show ya 2 Face, ambayo nilikuwa mwanamke pekee anayeperform, na ilikuwa show yangu ya kwanza Kenya, kuongelea Niroge, at that time tulikuwa tunahitaji kuongelea vitu vingi zaidi ya Juma na Vanessa,” ameongeza.
“Lakini pia Juma knows, I do this a lot, people don’t pay attention, If I don’t say ‘I am dating my music, I can say I am focused on music.”
 
Ingekua vipi watu wote wangekua wanene ungemtania nani mwembamba??(nimekumbuka ingekua vipi ya Mwana Fa na jay Mo)


Mkuu ile aina yake ya muziki inabidi akatike ndio sisi wateja tunalipa hela. Hawezi kuimba Segere halafu kiuno kigumu kama ubao, mi naona anatuibia wakati tuko macho
 
Haaa Nimecheka Mliposema Mifupa Na Hatikisi Body Manyoya.
Hii Ni Maajabu Ya Bata...... Kitu Ngwasuma
Ila Namba Moja Matata
 
Jux pale anamtumia Vanessa as a Plat form Tu ya mashabik Ku date na dem wa Kishua Lol halafu awe Tomboy
 
Back
Top Bottom