Freelancer Wakala
JF-Expert Member
- Feb 6, 2016
- 1,193
- 826
Vanesa Mdee:Amefunguka kuwa anahitaji kuigiza filamu na tamthilia.
Chanzo cha Hsbari:East Africa Television.
My Take.
Sijui kwanini huyu mdada mziki haumlipi au?
While akina Shilole wanatoka kwenye kuigiza wanaenda kwenye mziki.
Mmmh labda tumpe muda afanye yake.