kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,641 Reaction score 19,033 Feb 12, 2015 #2 Kumbe....
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,341 Reaction score 3,995 Feb 12, 2015 #3 Hahahahahah
KikulachoChako JF-Expert Member Joined Jul 21, 2013 Posts 20,023 Reaction score 40,471 Feb 12, 2015 #4 Kumbe watu walianza kupendana kitambo sana....
Mchochezi JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 11,451 Reaction score 10,026 Feb 12, 2015 #5 Tbt...
kidole007 JF-Expert Member Joined Dec 22, 2012 Posts 3,094 Reaction score 1,878 Feb 12, 2015 #6 enzi hizo hata mwenye kipilipili anataka weka afro
srinavas JF-Expert Member Joined Jun 5, 2011 Posts 4,333 Reaction score 4,326 Feb 12, 2015 #7 Duuh!! Hao ndio watu sasa
Salamander JF-Expert Member Joined Dec 7, 2012 Posts 28,545 Reaction score 15,766 Feb 12, 2015 Thread starter #8 Hao ndio watoto, kila kitu kiko naturally, sio hawa wa siku hizi fake kuanzia nywele mpaka kucha za miguuni.
Hao ndio watoto, kila kitu kiko naturally, sio hawa wa siku hizi fake kuanzia nywele mpaka kucha za miguuni.
masopakyindi Platinum Member Joined Jul 5, 2011 Posts 18,761 Reaction score 14,860 Feb 12, 2015 #10 Salamander said: Click to expand... Mkuu hii itakuwa 1970-1976 miaka ya pekos.1965 kulikuws na suruali chupa na mlegezo a.k.a kata K siku hixi.
Salamander said: Click to expand... Mkuu hii itakuwa 1970-1976 miaka ya pekos.1965 kulikuws na suruali chupa na mlegezo a.k.a kata K siku hixi.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,144 Reaction score 111,028 Feb 13, 2015 #11 vidosho wa wakati huo mapigo yao yalikuwa ya ukweli...