Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

Hatimae umerudi lara 1,unanifanya nachungulia huku kila siku mwanmke weye
 
Tomorrow is another day!

Akafika ofisini, dady akamuuliza unataka kufanya kazi deprtment gani? I am very big here, i can make it happen, akasema tu marketing. Akampigia director of marketing akamwambia our new employeee nakukabidhi, make sure she grows her career. Usimtelekee, give her roals that will make her grow and evolve. Basi anaitikia yes boss mfululizooo. Basi Dady akamwambia incase of anything dont hesitate to tell me anytime.

Kafika kapewa ofisi kubwaaa, kabati, tv. Hr akamletea contract nono. Akasema moyoni tu Anny aendelee kuwa mzuri hivo hivoooo. Mashoga wazuri wana faidaaa si kidogo, kazi zilivo za shida akashukuru Mungu. Akakutanishwa na team, ya hapo wanampa orientation. Mchana akaja Anny kumchungulia, vipiiii? Umepapendaaaa! Akajibu nisipapende tenaaaa, aaaah, najiona nipo kama Mbinguni. Wakacheka chekaaa, akamuonesha sehemu possible za wedding anazozi consider. Basi wakapiga story mbili tatu akamuaga ngoja nikampe Dady cha ofisiniii. Destination wedding sio mchezoooo.

Sisca busy busy kuchat na MBA, kila akisema hii text ya mwishoo, MBA analeta more interesting topics. He had a way of being nasty in a classy way and it was amusing. Basi MBA anamwambia incase just incase ukiamua kunipa ill take you to levels you never been. Akamuuliza tu out of curiosity what levels do you think i never been? Akamjibu ill give you a 69 position! Hahahaaaaaa! Sisca akamjibu i have been on that level! MBA akapanda dau, basi nitakunyonya k mpaka u squirt. Mmmmmmh! Akastuka kwanzaaa isije kuwa mtu anachungulia, akabana miguuu.

Akamwambia mimi sipendi hio it is just unmanly, ujue wanawake sio kama wanaume eeeh, lot of shits inapitakule MP n all it is just pyuskiiiii! Yakh! MBA, namwambia fack that shit, mimi napiga dekiiiiii, you will like it, believe me. We nikubalie tutupeane rahaaa uta enjoy mwenyewee. I got a big dick too, na najua kuitumia. Sisca akamjibu hahaahahaaaaaa! MBA akamwambia you think im blaffing? Akamtumia picha ya kitu. Tobaaaaaaaaa! Akazima data kwanza kazi ziendelee.

Jioni jioni akawasha data, akakuta kamtex scared huh! Akamtumia vi emojii vya kuzomeaaa. Basi akamwambia mimi nipo level 8, leo come we chill out, akamdanganya yuko busy n shit, akamwambia if you change your mind,mi nitakuwa pale na wanangu team popo. Basi akawa kakaa home, akaicheki ile picha vizuri sasa, huyo akavaa kwenda level 8. Kufika kule akawakuta wako kikundi watu wazima badala ya kukaa na familia zao wanakesha full shangwe, full bataaaa! Basi kufika pale MBA akagoma kumtambulishaaaaa. Huku na huku kuna mkaka nerd mmoja alikuwa katika hio campany, akawa anamuangalia kichiziii, kila akimuibia jicha anakuta Nerd anamuangalia. Kuna mda MBA akaenda ku take a pee, nerd kamsogelea, anajitambulisha yeye ni Auditor, akamuomba namba ya simu.

Kwa uhuni tu akamtajia ya uongo, nerd si akaipiga palepale ikasema namba unayopiga haipatikani, akamkazia macho, ikabidi ajikoshe namba hio ya tigo imezima ngoja nikupe ya vodaaa. Looooh! Akampa na safari hii kama lilijua limepewa ya kweli halikuijaribu. Akaondoa tu. MBA karudi bata likaendelea. Mda wa kuondoka, MBA anamwambia twende tukalale kwangu! Hiiiii! Akamwambia wewe si una mke? Akamwambia mke wangu anafanya ile bank Mwanza hukoooo, so im free as a brid. twende nikakupe mambo.

Basi na ulevi ule, pombe zimekimbilia chini,akili yote inamwambia rudi nyumbani, nyege zinamwambai if you hadnt curved all niggas that hitted on you, you could be having a dick right now. We are not going home with you tonight. Akajikuta tu kakubali, atafanyaje ukubwa jalalaaaa.Akakubali wakaenda, akauta picha ya mkewe sebuleni, wanae wawili pale, picha ya harusiii. Fack shidaaa, huyooo akaingia chumbani. And the guy was good. He lived up to his reputation, K kanyonya kweli kweli si kutishiaaa, anameza kila kituuu. Kwenye ligi we can consider him a pro. Anamuandaa mtu mpaka anaomba mshedede mwenyeweeee. Na sio watu wa kubust in few seconds, anampa mshedede wa uhakikaaa, mpaka anamuuliza umfikaaaa, umeridhikaaa, na yeye ndo an bust. Haaaaaaaaaaaaaa! Ilikuwa champions ligi! Mwendo huo huo goli 4.

Asubuhi yuko hoiiiii, moja haikai mbili haisimamiii, akaomba ruhusa ofisini kabanwa na tumbo la kuharisha akarudi nyumbani kulala. Akasema amekomaaaa, sio kwa mechi ileee, haendi tenaaa, maana kwa mambo yake kuto fall in love na mwanaume wa design ile sio rahisi hata kidogo. Akalalaaa mpaka saa 7, akaamua awa text kina Anny na Angy kuna ubuyuuu wa sheikh Kipondaaa. Lunch date ikapatikana fastaaa.

Kufika kwanza sura yake tu, Anny akamwambia you had a di.ck last night, a very good one. Slutyyyyy! Akawaambia huo ndo ubuyu wenyweee. Nimeenda na MBA, damn he is good, so good, i can swer i have never had that di.ck in like years maybe since University. Wenzie wakabkia midomo wazi, haaaaaaaaaaaaaaaaaa! Anawapa details, wako he did that? Really! Wanaangaliana, huku wakisikiliza neno kwa neno. Balalaaaa hilo ujue wanamwambia. Anny anamkoleza finally umejua what you have been missing.

Angy akawaza mbali akamwambia wanaume wa hivo ni hatariii, hawatulii na mwanamke mmoja, wanakuwaga malaya malaya tu, leo yupo na huyu, kesho yule mradi tu they dont fancy going to bed alone. Anakuwa anaendekeza u legendary kwenye fani hii ya kupigana miti. Mmmmmh! Wote wakatafakariii, wakaona huenda ndio ya sio ikawa ndio au sio kiundani. Sisca akawaza tu, i wont see him again, it was a mistake, i should forget about him.

Angy akawataarifu tu, ndani mume kanunaaa haongei kisa ishu ya kazi. Yeye ashazoeaaa, anacheza na mwanae na kufanya yake. Atajijuaaa. Sema na game imesitishwaaa, mpaka ligi itakavoanza tenaaa.
 
mmmh lara 1 you are something jmn.....hapo alipo mtext... scared huh!...umenikumbusha mbali...hatare.
 
Lara1 you are good at paying attention to details! hata mhusika hawezi kupresent story kwa namna yako!.'upo juu'
 
Walah hizi hadithi zitanipa kichaaa.... kule Vinneboy huku Lara 1 dah!!!
 
When karma comes knocking on the door, loves flies out the window!

Anny akiwa hana hili wala lile, akapigiwa simu na lawyer wa mumewe, akamwambia he wants dinner with her, sasa yeye Anny alikuwa anajua huyu lawyer anammezea mate kitamboo, sema in this game you cant be seen sleeping with the HELP! Akawa anampotezea potezea tu, kiutu uzimaaa. H ewas interested but he was never so direct before kama kuomba dinner.

Akataka kuzingua, lawyer akasemaaa,it is for your benefits, ikabidi akubali waonane. Ndo lawyer kumpa nje ndani za Dady. Kumbe Dady alipropose baada ya kujijua ni mgonjwa wa cancer japo iko ni first stages, and he was afraid to die alone. Akapanic na kukata shauri amuoe bibie coz wakiwa wameoana atleast she will stick with him.

Akashtukaaaaa! Akaenda mbali zaidi kwa kupasha kuwa, Dady ana mkewe wako divorced, na divorce yenyewe chungu na ana mtoto mmoja wa kiume, ambae anaishi nje na investment zote ameweka kwa huyo mwanae. Akaanza kuhisi malaria bibi Anny! Akaendelea kumwambia the worst part ni kuwa share holders wa kampuni yao wanamuondoa kwenye management soon sababu za kiafya so he may not last a year. And given his age hatopata kazi pengine kokoteeee. So hata kiamua kuolewa nae her marriage life will be in hospitals.

Ile malaria liokuwa anaisikia ikachanganyika na UTI, vichomii, kifua kikambanaaa, akamuomba lawyer amrudishe nyumbani kwanza maana network imekataaa. Lawyer hapo hapo anajichombezea, be with me, atleast think about it, nakutaka leo, kesho, tangia nimekuona sijakutoa rohoniii. Ingekuwa mtu mwingine i wouldnt risk my career hivi, but it is you Anny the woman of my dreams. I will mary you anytime any day. Isitoshe mimi kijana mwenzio, might not be as rich as dady at this age ila im a hard worker, nikifikia umri wa dady i might even have outshined him.

Kufika home kalalaaa fofooooo kwanza atulize akili. Maana the world crushed on her in seconds. Akakaaa akiwazaaa, kamkosea Mungu nini? Inamaana yeye ni mdhambi kuliko watu wote mpaka haya yamkute? Au sababu limuacha mumewe wa kwanza bila sababu ya msingi? Atakuwa mgeni wa nani mjini hapa? Akawazaaa asivopenda harufu ya hospitali, though a part of her loved dady but it was not in her kukaa na mgonjwa wa cancer, afu mzee, ambae anajua atakufa mda wowote. And she was not sure she was strong enough kumuona dady helpless, amebakia mifupaaa, she was not sure she can take that journey with him.

Angy huku akiwa katoka kazini hana hili wala lile anakuta kuna kikao cha wazazi, wazazi pande zote mbili, mume kaenda kushtaki mambo mengiii. Akawa anajiuliza je la mchepuko atasemaaa kikaoni? Si aibu hizooo. Akakaa tu kimya masikize atavojimimina. Basi akaanza Angy kawa jeriii, hamuheshimuuu, anajibu anavotaka, kimepanda kimeshukaaaa kubwa analotaka mume kazi aaache, alee mtoto manake hela ya kuwatunza wote ipo nyingi. Angy akaambiwa ongea na wewe mama nini tatizo.

Akapiga magoti tu, nisameheni wazazi wangu nilipitiwa nitajirekebishaa. Nimemkosea sana mume wanguu, sitorudia tenaaa, analia kabisaaa. Wazazi wakatoa risala zao pale, wakaambiwa shikaneni mikono, wakakumbatiana mpaka mabusu. Wazazi wakaondoka wepesiiiii. Kurudi ndani Mume anamchimba bibie mbona hukushtaki habari zako za kusadikika kuwa nina mchepukooo. Akamwambia sikia J, mimi Angy Mungu wangu mkubwa sanaaa, iko siku utaumbukaaaa mchana kweupeee, jua linawaka, na mimi nitakuwepo kushuhudia. Akaenda kuoga. Ametoka kuoga akakuta simu ya mumewe juu ya kitanda, sms ikaingia. Roho ikamwambia isomeee,

Akakuta password. Akajaribu Mellissa jina la mtoto wao holaaaa. Akjaribu birthday ya mtoto holaaa, akajaribu jina lake holaaa, akajaribu tarehe ya ndoa holaa, akajaribu tarehe ya mume kuzaliwa holaaa. Akakata tamaaa. Akaamua kujaribu jina la yule dada mchepuko, kitu pwaniiii, akaifungua ile meseji. " Bae umenifanya vizuri sanaaa leo, never get good sex like this from my bozooo at home. Love you mingi mingi rewind todays action" Akaich wazi vile vile ili ajue kaisomaaa. Akaja akakuta simu ishajifunga, kuingiza password kakuta ile sms imesomwa wakati yeye hajaisomaaa.

Akajua tu, tayariiiii, basi akaanza ujue tunataniana tu, watu wngine matani yamepitilizaaa, akamwambia hilo trella tu, picha bado siku yako inakujaaaa. Kesho naenda kazini sitaki kelele. Ikabidi tu mwanaume akae kimyaa maana ndo ashashikwa na manyoyaaaaaa! Akalala tu kwa hasiraaa kali.

Sisca akawa kamblack list yule MBA, kutoka huyu hapaaa, basi anajiapiza hamchekei wala nini, MBA, mkarimuu hatariii, anajibiwa shoti shot bado yumoooo. Basi akimwambia wewe una mkeooo bwanaa, anakaa tu kimya wala hamkani mkewe, anajiahidi kukwepesha story na nini si mnajua paka akiona nyau hata umpige na fagio yumooo tu jikoni habanduki. Wakaenda mpaka kwa mdada, mdada anajiamini kabisaa kwa hasira, stress, moods na frustrations alizonazo hawezi kumpa chiu hata kwa dawa.

Wamefika mtuhumiwa yupo tu, hakani mashtaka wala hakubaliii, anajiminia wine, anakunywa taratibu. Bibi kitu kimekaba koo, kuanza kuongea mpaka machozi mambo mia nane hayaeleweki mradi kapanic tu. MBA, kamsogelea kampa mate kwanzaaa. mate mateakaona mtu analegea, kamshika papa mshkunda, hakuna upinzani, kamaliza kazi. Kazi ile badala ya kuiongea yeye kaimaliza kwa vitendooo. Na akalala pale pale kama baba mwenye nyumbaaa

Baadae anamuuliza Sisca ulikuwa unasemaje tenaaa? Sisca anabakia mmmh! Maneno hayatoki kabisaaaa, chezea MBA wewe? Hapana chezea kabisaaa. Akamtuma sms kwenye group iknow i am slut but i just slept with him again na ki emoji cha RIP. Anny akajibu na kiemoji cha jeneza, Angy akaweka kiemoji cha bastolaa.

INAENDELEA leo leo
 
Back
Top Bottom