Valentine Story! Guess Who Is Getting Married? Marriage games

KLM a true definition of a 'Go Get It Man'. Hayumbishwi, hamumunyi maneno, simply veri principled. I bet wanawake wengi feel much more secured around such Gents. O'wiz all other characters were superbly tailored. Ahsante Lara1 kwa kushare nasi what u blessed with
 
Mhhhhhhh naona watu wengi sana wamekuwa interested na KLM,na wanaume naona watalichukua hili,tumekwisha wale wenzangu na mimi wanaopenda kudeka.
Ni mwendo wa kupelekwa kijeshi sasa....lol
lara 1 wewe mbaya?
 
Ha ha ha ha Nifah, u just gotta dance with the tune wala si ya kuhofia hayo. Ni kama kuwa chomboni majini na kuogopa mawimbi, yakija wenda nayo ndio mwendo huo wala usituame hapo hapo ulipo yatakuzoa. Teh teh teh
 
Mhhhhhhh naona watu wengi sana wamekuwa interested na KLM,na wanaume naona watalichukua hili,tumekwisha wale wenzangu na mimi wanaopenda kudeka.
Ni mwendo wa kupelekwa kijeshi sasa....lol
lara 1 wewe mbaya?
hahaha nifaa na unavyopenda deko,u wish shem asipite hapa
 
Mwenyewee nimestuka ujueeeeeeeeeeee! Inaitwa kujinyoso wenyeweeeeeeeee! Tobaaaaaaaaaa!
 
hahaha nifaa na unavyopenda deko,u wish shem asipite hapa
Nakuambia!!!!!!
Huyo lara 1 mwenyewe anajuuuuta...lol

Mhhhh sijui kapita?Hebu ngoja nitamsikilizia,nikiona mabadiliko najua tayari....ole wake,asidhani wote ni kama Sisca.
 
hahahaha.....usimlaumu mkwezi nazi imeliwa na mwezi,alafu Lara ndio mwezi sasa, shem wangu hana kosa hapa....
 
Wanawake sijui tumeumbwaje, toka mwanzo nilikuwa najiuliza hivi mama Melissa anasubiri nini kwa huyo mume, si ajiondokee? I got what I was asking for, then am feeling sorry for baba Melissa.....being a woman is so challenging...mfyuuu...
 
Hata mimi nilishangaa sana,ila mwenzetu nae ana moyo?
Mie ningeshajiondokea zamani,nisingeweza kwakweli.

Ila pia tuone mvumilivu hula mbivu,saa hizi anabembelezwa na Captain wake hana habari!
 
Marhabaaaa! Tupemmaoni yakooo, wapi palikukunaaa sanaaa, wapi palikukwaza almanusura ususie story, Wapi uli rest in peace. Tupe maoni yako.
Teheee eti wapi niliRIP.. Ujue ktk tamthilia au story yoyote lazima kuwe na wahusika watakaokuboa na watakaokufurahisha lakini wote ni wa muhimu ili kufikisha ujumbe kusudiwa.... kuolewa usipopendwa, utoaji wa mimba hata kwa wanandoa, michepuko.. Umeigusa jamii yetu kwa ujumla....
Umetukimbiza mwishoni kiaina ila bado story imebamba.... Kutoka kunako moyo mimi ni timu KLM baby....
 
Hii story sikutamani iishe gafla namna hii,lara 1 pls tupromiss story nyingine lini?

Kwaujumla story ni kali mwanzo mwisho,hapo kwa Sisca tumeona umuhimu wa kutokata tamaa kuingia ndoani hata kama umri unatutupa mkono don't lose hope, hatimae mdada wawatu kaolewa na mwanaume wanaependana. Ni bora kuchelewa ila ufurahie,kuliko uwahi ndoa igeuke shubiri.

Kwa Anny si kila king'aacho ni dhahabu na majuto ni mjukuu hasa pale alipomkimbia dady na baadae kuanza kummis na kujutia.

Aggy kavumilia mwisho kala mbivu,anakula nanasi kwa kujinafasi baada ya kuvumilia usaliti wa mumewe. Nimesikitishwa na ile barua ya dady alipomdervorse Agy maneno yale yanachoma[emoji30]
 
Bonge la story, Nerd a.k.a KLM nimemkubali, kwa hawa mabinti wa kisasa ndo dawa yao. Ngoja nianze kupractice niwe KLM nyumbani kwangu.
Ila Mangi naye kavunja kweli kweli, yaani lara 1 umewaharibia kweli wamachame...!!!!
 
Hii story sikutamani iishe gafla namna hii,lara 1 pls tupromiss story nyingine lini?

Kwaujumla story ni kali mwanzo mwisho,hapo kwa Sisca tumeona umuhimu wa kutokata tamaa kuingia ndoani hata kama umri unatutupa mkono don't lose hope, hatimae mdada wawatu kaolewa na mwanaume wanaependana. Ni bora kuchelewa ila ufurahie,kuliko uwahi ndoa igeuke shubiri.

Kwa Anny si kila king'aacho ni dhahabu na majuto ni mjukuu hasa pale alipomkimbia dady na baadae kuanza kummis na kujutia.

Aggy kavumilia mwisho kala mbivu,anakula nanasi kwa kujinafasi baada ya kuvumilia usaliti wa mumewe. Nimesikitishwa na ile barua ya dady alipomdervorse Agy maneno yale yanachoma[emoji30]

KITU KINGINE KIKALI BALAAA KINAKUJAAA, KINAITWA THE WORKING CLASS! Ni nomaaaasanaaa! Hapa bado hamjaonaaa kitu.

Nijitibia kwanza inshaalah usiku wa leo kinaweza kuanza.
 
Weraaaa[emoji126] [emoji126]

Mwambie mangi akuazime diklofenak[emoji28]

Mangi balaa yule na majigambo juu ha haaa
 
Wanawake sijui tumeumbwaje, toka mwanzo nilikuwa najiuliza hivi mama Melissa anasubiri nini kwa huyo mume, si ajiondokee? I got what I was asking for, then am feeling sorry for baba Melissa.....being a woman is so challenging...mfyuuu...

Kuwa mwanamke inaitwa you lose either way.
 
Kitu kipyaaaaa....
Werra werraaaaaaaaa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji28]
 
Kitu ninacho ila tukianze tu kati ya Jmosi jioni hivi. Pigieni kura viko 2. Kuna Average Joe na The working class. Jimalizeni wenyeweee
 
Back
Top Bottom