Valentine kenya

Joined
Mar 21, 2012
Posts
20
Reaction score
14
Man : Habari ya nyina wa Kamau
Woman : *sneers* Mzuri. Wapi Maua?
Man : Ati maua?
Woman : *Slap* Kwani nimesema OMO?
Man : Sasa ni nini nyina wa Kamau?
... Woman : Nimekuuliza wapi maua!
Man : Eeee ... Nimesahau.
Woman : *Slap* Wapi? Hapa nje! *Slap* Umesahau
wapi?
Man : Wuuui. Sasa ni nini? Si maua nitaleta siku nyingine?
Woman : Kesho? *Slap* Leo unajua ni siku gani?
Man : Woooi! Falentine! Falentine!
Woman : Na maua iko wapi?
Man : Eeeee.... Sikupata saa ya kwenda kununua
Woman : *Slap* Kwani ulikuwa unaenda kuchukua
Kismayu? Eh?
Man : Sasa ni nini nyina wa kamau. Si nilikua na kazi
mingi...
Woman : *Slap* Hata malaya hukuwa na free time!
Kwani hii kazi kambuni yako wanafanya wanafanyianga
kwa mgongo yako ati ukiinuka kazi itamwagika?
Man : Sio hivyo.
Woman : Na maua iko wapi?
Man : Sasa haki nyina wa Kamau unataka nifanye nini?
Woman : Mimi nataka maua sijui kama utapanda
ukojolee mpaka imee. Nataka maua. Iko wapi maua
yangu?
Man : Ngai, sasa na ni saa tano ya usiku nitatoa wapi?
Woman : *Slap* Unaniuliza mimi? Ushawahi niona
nikiuza maua, eh? *Slap* Toka ulete maua! Jinga wewe!
 
Te te te teee unachezea wakenya wewe??mapenz ya kikenye c kama yenu ooh bby ooh sweetie,.kule mapenz n ya kijeshi..wa keyii hawatakangi ujinga kwa mapenz.
 
Kwani hii kazi kambuni yako wanafanya wanafanyianga
kwa mgongo yako ati ukiinuka kazi itamwagika?

teh teh teh! huyu bibie anaongea huyo! mwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…