Valentine Hiyoooo....!!!

hakuna hata mmoja aliyenimwagia PM zake
wananiogopa kwani mm ni mama lao humu mjengoni
halafu isitoshe wanahofu ya kusemwa na M wangu
watajuta wakituma pm zao kwangu maana wata:evil::evil:

Ungejua nnavyokuonea huruma wewe...basi tu.

Hivi mpaka sasa hujapata kweli PMs za kukuonya uachane na mimi?
 
Sasa si ungeniambia nifanye utaratibu mwingine wa kwenda........

mmhhhhhh utaratibu gani?hamna kutoka nyumbani wewe ulinde nyumba,hamna kutoka hata hatua moja
 
mi i got it covered kwa miss chagga, yaan hakuna tatizo kabisa. nimemuandalia bonge la supraaizi. kwa lugha yetu wenyewe tunasema: silinde sibone ukuthi kuyoba umcimbi omkhulu
 
Last edited by a moderator:
nashukuru sijaona lolote ulilonifanyia kati ya hayo mpenzi. siuji umewafanyia hao wengine. lol
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…