Wengine tunyamaze tu hatujui cha valentina wa valentine
No......you?
Mumu humu.........!!?
yah .......au twende wote
Twende tu........kwani tunakwenda mpaka wapi.......?
utakokupenda dear,naomba uchague
your wish is my commandTwende tu Hideaway of Nungwi Resort & Spa..........ni patulivu.......na tutatulia..........
your wish is my command
Sawa.......na si tunaondoka tar 10 tunarudi 17.......au 20 kabisa........!!
tarehe 10 kabisa hadi 28
Utaisherehekea?
Unaonaje siku hiyo ikifika tukatoka wote
Ukinipa uhakika wa kutomwagiwa tindikali, haina shaka.
wala hutomwagiwa tindikali labda kwako,
ila mmhm!!!! naogopa mie :israel:
Dah! mm sim itakuwa imeisha charge siku hiyo.
Wengine wataachwa,wengine mahusiano mapya yatazaliwa,ni siku ya aina yake. Ila ni vema tukaitumia vizuri